Sembeta jr
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 805
- 367
Nina rafiki yangu niliwahi kukaa nae hapa kwangu sasa alishahama muda tu sasa ana goma lake limeshakujaga hapa maqa kadhaa.
Sasa muda si mrefu kaja kama amelewa ivi na mvua inanyesha kaja kalowa sana, ananambia shem na mvua hii mi nalala hapa hapa kabla sijamjibu kaanza kuvua nguo zilizolowa kazikamua kaanika sijakaa sawa kajirusha kitandani hapa ninavyoandika mi nipo nje nashindwa chakufanya.
Nimemwambia sasa shem tutalalaje nami nakitanda kimoja tu kanambia tulale hivo hivo.
Nimempigia simu swahiba simpati.
Naombeni ushauri wa fasta waungwana ukizingatia mi namaugwadu yangu hapa kitambo si mtihan huu.