jamani kuna mkaka hapa ofisini ananivutia mpaka basi, natamani nimwambie live ila najistukia tena kama ataniona kicheche, nifanyeje nimweke karibu yangu,
Wana jukwaa amani kwenu,
Kama mada isemavyo ninapenda kujua kutoka kwa jinsia zote ni kwanini wadada wengi hawapendi kuulizwa au kusema umri wao.Tabia ya kutotaja umri ni kwa wanawake wengi wa...
Za leo wapendwa
Jamani matatizo mengi katika mapenzi yanatokana na siri za ndani kuvuja, na hili mara nyingi linasababishwa na jinsia ya kike ingawa kuna jinsia ya kiume ambao nao hawana siri...
Ni kweli kabisa! Sitanii, hawa wasichana hawajitambui mpaka wawe na watoto kuanzia wawili au zaidi bila hivyo utavamia waliokwisha toa mimba ziadi ya tano, mimi nimeamua kujisalimisha kwa single...
Habari za leo wapendwa
Huyu shosti ni tangia ile shule ya boda, lakini tangu shule alikuwa anatukondesha mbaya, shost huyu alikuwa mbabe, dining alikuwa anachota top layer ile yenye mafuta yote...
Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao
kwa kisingizio cha kazi maajabu week end hasa
Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani
naja naenda kununua gazeti.
Kumbe wanaenda kunywa supu...
Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu...
Wakati mwingine mapenzi yanaumiza sana. Haswa unapopata mtu ambae sio sahihi kwako. Ambae amekutumia na alichopata alichokua anakitaka kutoka kwako sasa kakipata amekitumia had amekinai au...
Habari wapenda wale mnaopenda kufuatilia mafundisho ya mwalimu Mwakasege unaweza kutune Upendo Radio FM 107.7 fm dsm au online kwenye tunein.
Na wale mnaotaka mafundisho yake mbali mbali ninaye...
Za jioni wakuu,
Ninahitaji ushauri wenu awdau, na nitaanza na historia kidogo.
Kuna rafiki yangu mmoja tuemshibana sana, ni rafiki yangu wa kufa na kuzikana, mi na yeye ni zaidi ya rafiki na...
Hivi ni kwanini wanawake wa maumbo ya hivi wanazidi kuongezeka karne ya sasa? Mbona wanawake wa zamani hawakuwa hivi?
Kwa baadhi ya makabila ambayo wanamaintain mila za kizamani ni vigumu sana...
Kuna demu nlkutana nae mahala tulienda kumpa hai shem wangu yaani dem wa mchiz wangu aliekua na rafk ye n mrembo tu wa ukweli, ikabdi yule rafik ake na shem anpe nmb ya simu nami skuona hiyana...
Wana jf wenzangu kuna kitu huwakinanifanya nakosa ujasili na kuhisikia vibaya sana ninapoona mwanaume unapiga magoti kwa mwanamke. Kuna nyanja nyingi ambazo nimeshuhudia vitendo kama hivyo...
Nina mke na watoto watatu lakini mke wangu amekua akirudi kwao mara nyingi sana na mama yake humpokea na kuanza kuishi nae bila hata kuniuliza mimi na wakati huo huo huyu mama yake nae kaachika...
1. Kupenda kuzaa na kutuunza uhai
2. Uvumilivu wa malezi
3. Upole na amani
4. Kuona shida mapema
5. Kutuliza na kufariji
6. Kutamani kupendwa kwa namna ya pekee
7. Bingwa wa...
Natafuta mke atakaekubaliana na hali yangu nina shida ya nguvu za kiume na uume mdogo, umri wangu miaka 48.
Mwenye kujali tuwasiliane kwa email hii mbilimbi4@gmail.com au PM
NDOTO ILIYOZIMWA GHAFLA
Kulikuwa na familia moja maskini sana. Ilikuwa familia ndogo ya baba, mama na binti yao wa pekee . Baba ndiye alikuwa mtu pekee mwenye kipato[emoji389], hata hivyo kipato...
Kama mume una mke, hakikisha ukiwanunulia wazazi wako chochote hakikisha na wazazi wa mkeo unawanunulia, hivyo hvyo kwa wanawake hasa ambao mnafanya kazi, ukimnunulia baba au mama yako gari nunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.