Wasichana oneni huruma, siku ya kwanza tu unaomba na hela (kizinga) live

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,612
Kuna demu nlkutana nae mahala tulienda kumpa hai shem wangu yaani dem wa mchiz wangu aliekua na rafk ye n mrembo tu wa ukweli, ikabdi yule rafik ake na shem anpe nmb ya simu nami skuona hiyana nkamtongoza, sasa leo nmeonana nae kwa mara ya kwanza tukiwa kama wapenzi ananiambia laive anaomba hela ya soda wakat hata kumla sijamla,...
Jaman jaman kuwen na huruma basi walau hata wiki lakin siku ya kwanza tu jaman unaonesha njaa zako? Kiukwel kaniudhi na nlpotoka pale sijapokea tena simu yake licha ya kumwachia buku 5.
 
Mkipata wa kuwaomba kama hivyo wapeni jamani mana msipoombwa mtasema ana mpenzi mwingine.
 
Back
Top Bottom