xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,134
- 7,324
Kama mume una mke, hakikisha ukiwanunulia wazazi wako chochote hakikisha na wazazi wa mkeo unawanunulia, hivyo hvyo kwa wanawake hasa ambao mnafanya kazi, ukimnunulia baba au mama yako gari nunua na upande wa pili bila kujali hali zao ni nzuri kifedha au lah! Inasaidia kuimarisha ndoa yenu maana mwenye ndoa ni mwanamke.