Ni kwanini wanawake wa kizazi hiki ndiyo wanamaumbo ya namna hii?

John Cannor

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
1,467
2,000
Kama ni mpenzi wa muvi zile movies za zamani za nje na ndani ya tanzania wanawake hawakuwa wa maumbo ya namna hii.

Mfano isidingo kipind inaanza wanawake walikuwa bapa nyuma sikuizi wananundu.
Kwani na huyu ni wa muvi?

Umezungumzia wanawake wewe unaleta habari tena za wanawake wa 'muvi'..?

Mbona hueleweki mkuu..?
 

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,334
2,000
"catalist" ya umbo number nane ni vazi la kubana tu,hata huyo kuna vazi akivaa wala huwezi kumshtuka,miaka nenda miaka rudi wanawake ni wale wale tu kwa neema zile zile,TUMSIFU MUNGU KWA UUMBAJI.
Mi sikubaliani na wewe. Kuna maumbo hata avae gunia shepi yake lazima itaonekana tu. Wanawake wa zamani walivaa kanga ila wa sikuizi wakivaa kanga ni shida.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom