Hivi kumbe mwanamke anaweza akampenda mwanaume

Hivi kumbe mwanamke anaweza akampenda mwanaume

Mkuu, ndo hao hao utawasikia JESHI LA TANZANIA NI LA 3 KWA NGUVU/UIMARA AFRICA, yaani hata kudanganya hawajui.
inawezekana mhariri alikuwa katikati ya watu watatu na yeye wanne ambaye ni mmojawapo kutokana na kale kautafiti
Mkuu mi nilipenda adi wanaume wengine nikawa nawaona vinyago tu
Yeye alikua yeye peke ake, unambie nini baya kumuhusu nikuelewe??
Hahaha
Cha ajabu hakuwaga na gari, pesa wala sura nzuri
duh[emoji15] kumbe namimi ulikua unaniona kinyago tu[emoji23]
 
Basi Sawa kama ulikuwa huamini ndo hivo buana wanatupenda Sana wenzako na hatutumii dawa wala hatuna sura nzuri tuna hela kidogo na six pack hatuna na hata gar hatuna zetu daladala. AU mimi sijakuelewa VIZURI jibu ulotaka labda tuelezee nini kimejiri
 
Daah siamini from no where tu mtu ulikuwa unamfahamu unaanza tu na unamaanisha unakonda kabisa! halafu alivyokuwa zamani na sahiv hajabadilika ila unaanza kumkubali tuuu na aliye karibu na wewe unampiga chenga kabisa
 
Unaibiwa au?
 
Ukipenda hujijua ukishalizwa ndio wapambe wanakuanika kinaga ubaga ulivyokuwa kipofu

Ohoooooohh khaaahhh yaani upendo upendo yaani unakuja kama chafya tu p.o.box hauna kwakweli halafu watu wanamaanishaga kumbe kabisa ndo nimeamini
 
Hujafa hujakoma kujifunza!
Nilikua siamini kabisa hata kwa mtutu wa bunduki eti mwanamke mwenye uhusiano imara tu kabisa anaweza mpenda mwanaume kabisa kabisa yaani sio kwakubabaisha.
Ni dawa ama? sura , hela wala hana six paki/car hana lakini tayari kabisaa mhusika unamuona nuksi pita mbali shetani.
Yap wangi wanapenda bila kujali unanini
 
Unaeza zama kabsa kwa mtu kumbe yy wala hana time mwsho wa siku unakuta bint kaachwa hiyo inapelekea mtu kutokuja penda kama awal ndo mana unaona kesi nying za mausihano mara sio mwaminifu ooih ananichuna yooote hii inatokana na alishaumizwaga ukooo nyuma na mtu
 
Hujafa hujakoma kujifunza!
Nilikua siamini kabisa hata kwa mtutu wa bunduki eti mwanamke mwenye uhusiano imara tu kabisa anaweza mpenda mwanaume kabisa kabisa yaani sio kwakubabaisha.
Ni dawa ama? sura , hela wala hana six paki/car hana lakini tayari kabisaa mhusika unamuona nuksi pita mbali shetani.
ila jua tu maskini hapendeki! jifunze kwangu usivumilie taabu za mwanaume eti kesho utaenjoy hakuna kitu kama hicho . yaani huyo nuksi shetani akupitie mbali kabisa
 
Back
Top Bottom