Je ni sawa kumpigia magoti mwanamke?

poisson

Senior Member
Jul 17, 2016
130
42
Wana jf wenzangu kuna kitu huwakinanifanya nakosa ujasili na kuhisikia vibaya sana ninapoona mwanaume unapiga magoti kwa mwanamke. Kuna nyanja nyingi ambazo nimeshuhudia vitendo kama hivyo mwanaume kumpigia magoti mwanamke kama
Kwenye event za kuvishwa Pete za uchumba
Mwanaume kuomba msamaha kwa mwanamke.

Kwa upande wangu naona ni udhaifu mmoja mkubwa sana kumpigia magoti mwananke
 
Umetokea mkoa gani mkuu?
 
naamini huyo bado hajakutana na wapiga magoti!
siku akikutana nao, nategemea utatuletea uzi humu MMU
 
Back
Top Bottom