Ushauri: Namna ya kuzuia hasira

Ziege

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
337
139
Mina hasira za karibu sana ninakasirika mara kwa mara, naombeni ushauri ni dawa gani inaweza kusaidia.
 
Unapoona umekasirika au unakaribia kukasirika kwanza kabisa unatakiwa ukae mbali na kitu kinachokusababishia hali hiyo kwa muda huo,
kisha Uvute pumzi ndefu kwa kutumia pua na kuzitoa kwa kutumia mdomo, fanya zoezi hilo kama mara tatu hadi nne,
Au njia mbadala unaweza kunywa maji kama glass moja hadi mbili.(au unaweza kutumia njia zote kwa pamoja)
-stunter-
 
Mina hasira za Karibu sana ninakasirika Mara kwa Mara naombeni ushauri ni dawa gani inaweza kusaidia
Mkuu dawa ya hasira ni maji tu, ukipatwa na hasira kunywa maji ya kutosha aki ya mungu unapoa kabisa unakuwa kama be*g* trust me..
 
Back
Top Bottom