Fungu la mwanamke

Bukya

Senior Member
Apr 1, 2014
195
121
1. Kupenda kuzaa na kutuunza uhai

2. Uvumilivu wa malezi

3. Upole na amani

4. Kuona shida mapema

5. Kutuliza na kufariji

6. Kutamani kupendwa kwa namna ya pekee

7. Bingwa wa kusikiliza

8. Ari ya pekee ya kusimulia mambo

9. Kuamini mambo kwa nguvu

10. Kupenda sana yaani kupenda kwa moyo

11. Uwezo wa pekee wa kulinganisha mambo

12. Kuwategemea kwa namna ya pekee wanaume

13.Bidii ya ajabu ya kazi nyingi ndogondogo na ufundi wa kusimamia mambo yaliyopangwa tayari.

14.Nguvu kubwa ya kuwateka wanaume

15. Kuwastaajabia sana wanaume wenye sifa za pekee.
Source Kitabu "Busara za Mzee" by Titus Amigu
 
Sio kwa wanawake na wadada wa elimu ya juu hii based on aged mothers and singer mothers over
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom