Mwaka huu nimekuwa addicted na single mothers

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,774
Ni kweli kabisa! Sitanii, hawa wasichana hawajitambui mpaka wawe na watoto kuanzia wawili au zaidi bila hivyo utavamia waliokwisha toa mimba ziadi ya tano, mimi nimeamua kujisalimisha kwa single mothers hao wengine wauaji siwataki wasije niua na mimi bure.
 
unakimbia majukum kwa mabinti

Kwa vibinti hakuna majukum....utoto zaidi

kujikwatua kwasaana....haangalii future

matumizi ya hovyohovyo hajuwi kupanga wala maisha

Kauli za hovyohovyo na maudhi....

Pasua kichwa...karuka na yule katokea huku kashinda na katoto kenzanke.....shiiiida

Havijuwi kuongewa kwa staha

chumbani vurugu tupu....havijuwi radha wala havishibishi.....makelele meengi ...fekiii

vinanata kijingajinga.....utakufa kwa pressure
 
MIMI niko kinyume na wewe ndugu...! Kilichomkimbiza mwanaume mwenzio hakitakuacha salama.

Binafsi niliwahi kudhani km wewe ila ukae ukijua USIONE UKADHANI lisemwalo lipo binafsi nimekaa nao zaidi ya wanne.

kwanza jiandae kulea mtoto huku baba mtoto akijisifia na kukuona zoba.

Pili kila ukimkosoa mtoto wake anadai umpendi mwanae.

Siku akipata nafasi baba wa mtoto kula mali yako iwe pesa au papuchi ni kawaida.

Ikitokea ukafa yule baba yake na mtoto wa kwanza atahamia kwako, na ugomvi kati ya mke wenu huyo na ndugu zako utakuwa mkubwa sana.

Jaribu bahaui yako ila utambue km wanajielewa wasingeachwa na walio wazalisha.
 
Jamaa kumega nikawaida tu mkuu kumbuka wakubwa huwa tatuachani bali tunatengana tu
 
Mwaka jana ulikuwa na kundi gani? Na mwakani unaamia wapi?
Miaka yote nailikuwa natembea na visichana tu,vinakuja kwangu vimejipodoa kama mdoli wao ni chips kuvaa na kutoka kujionyesha onyesha tu kwamba vp na mimi! Havina mchango wowote wao ni kutumia tu....Nimevitumbua vyote vikiniona na masingle mothers wangu ni shikamoo tu nami nimekuwa single father naamkiwa Heshima juuuu.
 
Back
Top Bottom