Wanawake nataka kujua mnawezaje kuishi nao wanaume wasiokunywa pombe sababu mimi wanaume wa type hiyo huwa nawachukulia kama wanawake.
How do you cope with them.
But don't judje me.
Ni...
Leo katika pita pita zangu maeneo ya gym khana, Aga khan nilimuona mdada/mama mwenye umri kati ya 39,38 amebeba beseni la mihogo kichwani na mfuko wa maembe na ukizingatia siku kama 3 au 4...
Wikiend hii mitandao ya kijamii ilijaa post inayomhusu kijana mmoja aliyejinyonga kwa ajili ya mdada aliyemtambulisha katika barua yake kama Rose. Kwanza nakemea vikali vijana wenye akili za...
Habari wana mahaba wa JF.
Leo nawaleteeni kisanga cha kushangaza kama si cha kuchanganya. Kuna brother mkazi mpangaji maeneo ya sinza hapo ambaye yupo vizuri kwenye kipato chake anaishi na mkewe...
Amani iwe kwa wote wana MMU.
Ni mara chache sana naweka mada jukwaa hili kwa sababu ninazingatia kuwa ni vema kuwa na jambo lenye mashiko na sio kuandika lolote jambo.
Nimejaribu kuchunguza...
Jamani mapenzi hayaishi vioja.
Jana nilikuwa na rafiki yangu mmoja tukapanga tukale bata mitaa flani mida ya mchana hivi nikawasha gari yangu mpaka eneo husika ile kushuka tu kwenye gari rafiki...
Katika mapenzi naamini ili mambo yaende sawia inabidi kuwe na feelings / hisia kati ya wapenzi hao maana hilo uwepo wa hisia utasaidia hata ushiriki wao katika tendo la ndoa.
Swali; Inakuwaje...
Wanaume wa kizungu wakapata jambo la kusikitisha wanalia hawaogopi kuonyesha hisia zao kwenye watu wengi wanalia. Wanajua kulia ni dawa.
Wanaume wa Tanzania hawalii wanaogopa kuonekana sio...
Habari wakuu
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nimejiajiri mwenyewe (namiliki stationery & duka la miamala ya kifedha i.e tigopesa).
Natafuta mwanamke ambaye kweli yuko tayari kuanza...
Usiishi na Mpenzi wako utadhani wewe ni
TANESCO, yaani Mpenzi wako hana pa kupata
Umeme zaidi ya Kwako...Jitahidi kuwa karibu na
Mpenzi wako Kimawasiliano kadri uwezavyo. Penzi
bila Close...
Naombeni ushauri,
Mimi mume wangu simuelewi kabisa. Historia kwa ufupi iko hivi nilianza kuishi na mume wangu mwaka 2010, kitendo cha kubeba ujauzito mwanangu wa 1 alifurahi sana. Kipindi cha...
Habarini,
Mimi ni kijana wa kiume nipo Kanda ya ziwa (jijini) baada ya kukaa kwa muda bila mpenzi sasa nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mama watoto wangu, umri wangu ni miaka 27 elimu degree...
Nikiwa home nakuwa mtu wahasira siongei na mtu napooza sana yani mpaka kero na nikitoka home nakuwa fresh kabisa hivi mnaweza kunisaidia nini tatizo hasa
Huu Ndio Upasuaji wa kurudisha Bikra Kwa Mwanamke Unavyofanywa ..!!!!
bikra ni nini?
hii ni ngozi laini sana inayofunika uke kwa wanawake ambao hawajawahi kushiriki ngono kabisa, kikawaida...
Ujumbe huu uwafikie vijana na wazee ambao muda huu wameshika kamba, panga , sumu, silaha ya moto, panadol au chochote unachotaka kutumia kuondoa maisha yako kisa mpenzi wako amekuvunja moyo na...
USHAURI TU KWA KINAKAKA (TAKE IT OR LEAVE IT)
UNAPOANZA UHUSIANO MPYA EPUKA WANAWAKE WA AINA HII
1.MSICHANA WAKO WA ZAMANI
Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano...
Idk if its normal au vipi but nina shida moja ya u-antisocial...yet sijui ni u-antisocial exactly au uvivu tu unanisumbua.
Yani nakua mzito sana kutoka,utakuta nna appointment na mtu and...
Mambo,
Natafuta mchumba baadae awe mke rasmi, elimu yangu ni shahada ya kwanza ya Siasa na Utawala (Ba.PSPA-UDSM)
Kazi yangu Kwa sasa najihusisha na KILIMO.
Kwa maelezo zaidi PM
Usijenge urafiki na starehe wakati shida ni jirani yako, hakuna tuzo za ngono zaidi ya ukimwi. Jipange m2 wangu maisha ni magumu na umri haurudi nyuma, wazuri ni wengi lakini yupo umpendae zaidi...