Kuna haka kamsemo kama sio ndo neno..
Mtaani huku mnakua mnatuacha njia panda washkaji, na haka kaneno "yule mkaka mzuri". Hivi labda hatuelewi sisi na nadhani kuna kathread kalipita ila kama...
Wasalaam wandugu wote hapa jamvini!
Nakuja mbele yenu kuleta ushuhuda wa hiki kinachonitokea sasa.
Katika pilika za maisha nilibahatika kusoma na mdada mmoja ambaye kwa vigezo vyangu nakiri ni...
Nianze, kumshukuru Mora.
Nimegundua vijana wengi tunaogopa maisha, niliplan nitafanya kazi kwa miaka mitatu then naoa, kweli nimefanikiwa kama nilivyopanga, sisi ni wanandoa wachanga sana...
Nimesoma mahali. Mnadhani ni kweli wadau?
Ukiona boyfriend au girlfriend wako mnaopendana kabisa, wakati mmepishana au mna hasira akakutamkia huwezi kuwa mume wangu au huwezi kuwa mke wangu...
Nashindwa kabisa kuzi-control hisia zangu kila mwanamke nitakayemuona mimi natamani niwe naye, hii hali inanitesa sana, nikitaka kujaribu kujizuia nashindwa kabisa na muda mwingi nikikaa nawaza...
Habari zenu, naitwa Issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo naye takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu hajawahi kuniambia ana mke wala watoto na...
Pita pita zangu Mtaani katika Harakat za kutafuta vitafuniol, so nikakutana na mdada mmoja nilikuwa namfukuzia Kitambo ni geti Kali na hata simu hana kabisa. Nikamsimamisha nikampiga Saundi mvua...
kwa jina naitwa malamia
kabila langu mchaga
umri wangu miaka 35
mchapakazi sana
elimu ya chuo
sijawai kuolewa
sijawai kuzaa
naishi dodoma ila mwakani nitahamia dsm nimeajiriwa
dini mkristo...
naitaji mwanaume wa kuanzisha familia kama nilivosema miaka yangu ni 35 elimu chuo kikuu dini mkiristo .
mume nimtakae awe mtu mzima kama miaka 40 na kuendelea dini yoyote
mawasiliano...
Kwa nini iko hivi? Baadhi ya wanaume anamtongoza mwanamke, anamwambia nakupenda tena kwa kumwandikia tu message kupitia simu. Na mwanamke kwa upande wake hata haja reply chochote kama vile...
Kuna jamaa (Alex si jina halisi) imemtokea alipikigiwa simu na class mate wake (tumwite Daniel) anatokea Mwanza anaenda Arusha sasa jamaa akaomba hifadhi ya siku kadhaa awapo Arusha.
Alex...
Mambo vipi wana MMU,
Kama mnakumbuka nilileta uzi wa binti ambaye nilifumaniwa nikiwa nae. Yaani alotufumania ni mchepuko wangu, sasa leo hii kaamua kunisalimia na kutaka kurudisha picha zangu...
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa...
Bila ubishi kuwa kisukari ni ugonjwa unaotesa sana watu kwa sasa. Licha ya gharama ya dawa vipimo pia nimegundua si ugonjwa mzuri kwetu wanaume wenye ndoa zetu.
Hii inatokana na kushindwa...
Eti mwanaume kuoga pamoja na mkewe ama mpz wake sio upendo kama tunavyodhani. Ila inaaminika kuwa ni kutompa nafasi mkewe/mpz kupekua simu. Ama kupokea simu.
Je, hapo kuna ukweli?
Habari za wasaa huu ndugu wangu?
Siku moja nikiwa kijiweni na sahibu zangu nikasimuliwa kisanga fulani hivi, kihusucho mke wa mtu anayemilikiwa na mumewe tu. Nitatumia mbinu za kisanaa na ufundi...
Habari za wasaa huu ndugu wangu?
Siku moja nikiwa kijiweni na sahibu zangu nikasimuliwa kisanga fulani hivi,kihusucho mke wa mtu!Anayemilikiwa na mumewe tu.Nitatumia mbinu za kisanaa na ufundi wa...
Wakuu wasalam,
Naomba nisielezee historia yangu kwa sana, lakini kifupi mimi ni Mtanzania lakini katika harakati zangu za maisha niliwahi kujilipua na kukaa nje ya nchi muda mrefu.
Baadae...
SUALA la kuoa lipo tu licha ya kwamba wapo wanaochelewa kuingia kwenye maisha hayo wakihisi inaweza kusitisha furaha ya maisha yao. Nasema hivyo kwa kuwa najua wapo wanaoamini kuoa ama kuolewa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.