Hyungnim
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 301
- 482
Habari za wasaa huu ndugu wangu?
Siku moja nikiwa kijiweni na sahibu zangu nikasimuliwa kisanga fulani hivi,kihusucho mke wa mtu!Anayemilikiwa na mumewe tu.Nitatumia mbinu za kisanaa na ufundi wa lugha kukielezea....twende kazi.
Kuzunguka maeneo mengi kuzisaka fedha kukamfanya Bw.Mafuta achelewe kuoa!Kilombero kwenye mashamba ya miwa alihudumu,chunya kwenye tumbaku na machimbo ya dhahabu alihudumu pia!Kutahamaki miaka 40 hiyo mlangoni!Akarudi kwao unyakyusani kulisaka jiko na hakika akalipata!Akampata Chelina,mnyakyusa mwenye jina la kizungu!.
Chelina akiwa kapambwa na rangi nyeusi tii mithili ya mkaa alikuwa mfupi kiasi,mwilio ukajigawa vema!umbile la kinyakyusa likamkaa sawia!Lakini uso wake haukuvutia sana,ukichukiza hivi ila ukimtazama makalio uso wako uliokasirishwa na uso wake utakunjuka kwa furaha ukitamani kulala nae kitandani.Makalio makubwa yalimpa shida kutembea!Mazito mno,akawa anatembea kwa kunyatanyata,huku akizishusha pumzi ndefu..makalio yalimwelemea
Wanaume wakware wakapagawa,popote apitapo pindi wamtiapo machoni waliinama na kuzikamata nyeti zao zisiwaumbue.
Mumewe alimpenda sana.Akamfungulia saluni ya kike huku yeye akishinda chunya kwenye machimbo ya dhahabu...kutokana na wivu kumsakama kila alipotazama rasilimali makalio ya mkewe akaamua kumdhibiti kitaalamu ili asifaidiwe na majitu ya miraba minne!Mkewe hakutambua.
Basi bwana Hashimu dereva tekisi akakumbwa na pepo mbaya.Akatamani kulipakata PENDO mwanana la Chelina.Hashimu katoka Daresalama,akatamani mlimbwende wa kinyakyusa.Akatamani kuvionja vya huku kwetu.Akazirusha nyavu wala chelina hakuepa viunzi!Naye akatamani kula chakula kitamu kutoka kwa Hashimu wa Daresalama.Na hivi mumewe alikuwa Chunya hamasa ikamjaa pomoni akaona siku ya miadi ikijongea kama konokono.
Siku ikawadia,akajitoma chumbani kwa Dereva tekisi!kijana barobaro!Pasi Subira wakavaana na kujibwaga kitandani,wakipumua na kuhemea juujuu,wakitomasana hapa na kubonyezana pale!Wacha bwana wakayasaula,hao wako watupu!Dereva tekisi akamrukia Chelina na kumpalaza makalio tena hayakupindapinda mviringo kama tufe!hakutaka kuchelewa,Mali ya kuiba hiyo!Sasa mpini wake ulikuwa imara.Akagumia kwa maraha na kujaribu kuusokomeza kwenye nonino ya Chelina!Hamadi,,,,likatokea joka kubwa ajabu likiwa limeachama,meno nje!Likafumbata maungo ya Hashimu na kutulia!Dereva tekisi akapiga ukelele kwa kuhamanika!Joka likazichoma korodani/kende za Hashimu kwa meno yake na kuachilia sumu!Jamaa akalia kwa uchungu!joka likatabasamu na kuendelea kuufumbata mpini wa Hashimu!Chelina akazimia kwa kihoro.Dereva tekisi akajuta kuja unyakyusani.Achilia mbali kuyatamani makalio ya Chelina tena mke wa mtu.