Kisukari ndo adui namba 1 kwa ndoa

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
818
536
Bila ubishi kuwa kisukari ni ugonjwa unaotesa sana watu kwa sasa. Licha ya gharama ya dawa vipimo pia nimegundua si ugonjwa mzuri kwetu wanaume wenye ndoa zetu.

Hii inatokana na kushindwa kuperfom vizuri kwa kitanda.Ni wazi kwa mazingira ya sasa tutasaidiwa tu na vijana.

Nawashauri wanaume wenzangu tuungane kwa kauli mbiu "Kisukari ni adui hatari kwa ndoa zetu."
 
Ni kweli,ila pia unywaji pombe kupita kiasi na unene kupita kiasi navyo ni majanga kwenye ndoa hasa upande wa perfomance,ila ukiwaona wenyewe wajanja wajanja,njoo kwenye 6 by 6 unakuta zero.
 
Kisukari sio ugonjwa mzuri hasa kwa sisi wanaume,tujaribu kuepuka kwa kuwa makini na lifestyle

1.Tupunguze ulevi wa kupindukia
2.Tule vyakula natural visivyo na mafuta mengi na chumvi iliyozidi kipimo kama chips,kuku wa kisasa,tomato sosi nk
3.Tufanye mazoezi na kupunguza wanga na mafuta mwilini(ie kutembea km 10 kwa wiki)

Nk,,,,,,,
 
Stress
 
Mkuu;
Nashindwa kukuamini. Nina rafiki yangu sukari ikishuka saana inakuwa 25 lakini, mara 2 kafumwa na mkewe akilamba wake za watu. Tena jamaa yuko kwenye 57yrs. Unasema ati ni adui wa ndoa huyu adui ya ndoa yake nnani?? Mkeo ajitahidi kupunguza maneno wakati wa 6x6, aongeze utundu. Lakini ka ni wale wa kulala ka gogo na kukuambia ukimaliza funika hakika hutaweza.
Mechi huhitaji utundu ili lengo lifikiwe. Kumbuka, mliahidiana kuvumiliana kwenye heri na shari pia. Kisukari kingelikuwa kinaambukizwa ka Std wengi weshuawa kwa sababu ya hofu ya kuchapiwa
 
Back
Top Bottom