Yako wapi mapenzi!

Yako wapi mapenzi!

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Yako wapi mapeenzi, China wa China.....,
Kwanini umeondokaa sijui ulipoo,
Nimekula bia nyingi saanaa,
kumbe nimezidisha Mawaazo kwanini umetawala Moyo wangu eeee!
Nakupenda Sanaa,
kama mtotoo anavyopenda Mama yake,,,
Kama mtoto Ya Ngombe....!

Aaaaaah haaa haaaa mi naimba jamani Hii kitu Inanikumbusha Way back maeneo flani, Daah burudani inaweza kukumbusha mbali Sjui wewe unakumbuka mziki gani na ulikuwa wapi kipindi iko....!
 
Bella ooooooooooooohhhhhhhhhh..................
wacha nikupeeeeeeeeendeeeeeeee
 
Mi naukumbuka ule
Mwenzenu mi najuta eeh
Balaa gani lilonipata mimi
Nilikuwa ninaye mpenzi wangu Maprosoo
Aliniahidi tutafunga ndoa ya fahali
Mapumziko yetu weekend Mombasa
Shopping ya harusi itakuwa London
Sasa nimefilisika simuoni
Kashanipa ujauzito na kunitoroka eeeh mie mie
 
Mi nakumbuka

Jirani jirani yangu weeeee...nimekukosea nini?
Kila ninachokiomba jirani eeeh mwenzangu wanikata lia...
sasa nikueleweje jirani eeh..sasa nikueleweje mwenzangu weee


Mimi na wewe ni kitu ki1 haina maana ..haina maana kunyimana...😱hwell:
 
Mapenzi matamu niwapo na wewe mpenzi,
Sioni mwingine wa kufanana na wewe,
Nitalienzi penzi lako sintokuacha asilani.
Mpenzi usiwe na shaka....... aaah Mashalah!
 
Mi naukumbuka ule
Mwenzenu mi najuta eeh
Balaa gani lilonipata mimi
Nilikuwa ninaye mpenzi wangu Maprosoo
Aliniahidi tutafunga ndoa ya fahali
Mapumziko yetu weekend Mombasa
Shopping ya harusi itakuwa London
Sasa nimefilisika simuoni
Kashanipa ujauzito na kunitoroka eeeh mie mie

hahaaa haaaa iyo kiboko aiseee!
 
Mapenzi matamu niwapo na wewe mpenzi,
Sioni mwingine wa kufanana na wewe,
Nitalienzi penzi lako sintokuacha asilani.
Mpenzi usiwe na shaka....... aaah Mashalah!

mmmmmmh kazuri hako
 
MMMMmh wimbo na yale majambozi huwa yananoga sana, na uimbe ukimaanisha, macho yakiongea na sauti tamuuu!! Mbona utaiona hii dunia ulikabidhiwa wewe peke yakoooo!!
Nipe nipe raha mtoto wa kitanzania
Nipe nipe raha niweke kwenye himaya
Nipe nipe raha mtoto wa kitanzania
Nipe nipe raha nakupenda ile mbaya
Nipe raha zako nina hamu kuziona
Nifiche baridi nipate joto mwanana
aaaaah mambo ya TOT Taarabu miaka ya 1993 hayoooo
Always mapenzi ni ubunifu na ubunifu huwa hauishi jamani!!!
 
Ilikua asubuhiii na mapema, jua linachomozaaa
Pale daraja la Salendaaa, kumetokea ajali ya kutisha saaana
Kukatangaazwa majina ya watu waliokuwemo
Kwenye ajali hiyooo, Mmojawapo kati ya watu hao alikuwapo mpenzii Zuweenaaa
Nikatokaaa, mikono kichwani hukuu ninaliaaaa, ndioo kwenda kumuona mpeenziii Zuweenaaa
Mamii Zuweenaa, Ooh mpenziii Zuweenaa, Oooh mpeeenziii Zuweenaa!
Zuweenaaa ningempata wapii ooh, Zuweena mwingine sawa na yeye?
Mtoto aliyeeumbikaa mwenye tabia za kupendezaa
Zuweenaa, Zuweeenaa kweli nampeendaaaa!
 
Kuachwaa kuachwaaa kuachwaa ni shuguli pevuuu,mbaya zaidi kwa yule umempenda wewe unakonda yeye anananenepa kwa mawazo ooh kwa mawazoo,..nakapendaga ka rythm ka huu wimbo
 
Zako mbio za maisha, zimetutenganisha
Tamaa me sijesha, iko siku tutakesha
Nikeshe na wewe tukitazamana
Nikeshe na wewe tukiliwazana
Nikeshe na wewe tukiambizana
Nikeshe na wewe tukiliwazana.

Nitangojea maisha
Pendo langu si la kwisha.

Nimewakataa wengi, wenye tofauti hasa
Wenye nywele za mashungi
Nangojea kesha yangu
Nangojea kesha yangu

Sili sinywi nisiwaze,
Vipi ningekuwa nawe
Mie unibembeleze
Nikae uniliwaze
Muhibu jitendekeze
Mambo yote chatilize
Wala chembe usiwaze, mimi ni milki yako wewe, mimi ni milki yako wewe.

Tamba my dear tamba, tamba ya habiby tamba.

cc; My daktari
 
nitaupa
MMMMmh wimbo na yale majambozi huwa yananoga sana, na uimbe ukimaanisha, macho yakiongea na sauti tamuuu!! Mbona utaiona hii dunia ulikabidhiwa wewe peke yakoooo!!
Nipe nipe raha mtoto wa kitanzania
Nipe nipe raha niweke kwenye himaya
Nipe nipe raha mtoto wa kitanzania
Nipe nipe raha nakupenda ile mbaya
Nipe raha zako nina hamu kuziona
Nifiche baridi nipate joto mwanana
aaaaah mambo ya TOT Taarabu miaka ya 1993 hayoooo
Always mapenzi ni ubunifu na ubunifu huwa hauishi jamani!!!

nitaupata wapi huu wimbo jamaniiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom