Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 566
Kuna haka kamsemo kama sio ndo neno..
Mtaani huku mnakua mnatuacha njia panda washkaji, na haka kaneno "yule mkaka mzuri". Hivi labda hatuelewi sisi na nadhani kuna kathread kalipita ila kama haka ila hakakupatiwa majibu vizuri.
Mfano sisi tukisemaga mwanamke yule ni mzuri wengi wetu we mean kama alivyo Masogange au tuseme kala Lola love (mfano tu).
Sasa nyie sijaelewa mnasemaga tu yule boy mzuri hatujaelewa bado hasa anaekuwaga handsome kwenu anaonekanaje ikibidi mfano tafadhari ( jibu in positive way sio vibaya kutaka kujua tu) mtaani huku tunazidi kuwa maganda ya ndizi tu ukizingatia mko wengi.