kahama one
Member
- Jan 14, 2017
- 53
- 37
Kuna jamaa (Alex si jina halisi) imemtokea alipikigiwa simu na class mate wake (tumwite Daniel) anatokea Mwanza anaenda Arusha sasa jamaa akaomba hifadhi ya siku kadhaa awapo Arusha.
Alex amepanga chumba kimoja na anaishi pekee, kisela akaona hamna shida wataishi pamoja, Alex alimpokea rafiki Daniel.
Kimbembe ilipofika usiku wakati wa kulala, Daniel akainuka akaenda kwenye begi lake akachukua kondomu akavaa na akarudi kitandani kulala bila kusema kitu huku Alex akishuhudia kila kitu.
Ungekua wewe ndo Alex mwenye chumba ungefanyaje?