Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Asubuhi unapita kwenye supu yako ya mbuzi,ukikutwa ofisini na viwanja vya kutazama mechi za ulaya tuko level lakini home kinanuka hivi.
2 Reactions
79 Replies
11K Views
Hamna kitu ambacho mwanaume hapendi kufanya baada ya kumaliza kufanya mambo yake kama CUDDLING (kukumbatiana) wakati hali ni tofauti kwa upande wa KE. Mwanaume atakuona unampenda na kumjali kama...
2 Reactions
67 Replies
12K Views
1..Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako. 2..Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa, mujibu wa ripota wetu alioyepo Ngara anasema mahari kubwa inaotozwa na wazazi imesababisha vijana wengi waende kujiokotea wanawake nchi jirani ya Rwanda na Burundi. Kwani Ngara, ili, uoe...
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Nimeanzisha hii thread maksudi coz kwa kweli mchumba wangu ananinyima raha sana maana yeye yupo anaishi Ifakara kikazi then mimi nipo Singida kikazi but kitu cha kushangaza hataki niende kwake...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wanajamvi, Ni matuamini yangu sote tu wazima wa afya, kwa wale wenye shida na changamoto tofauti tuombe Mungu na tusikate tamaa. Hivi limekaaje hili suala la mtoto wa kike kukaa nusu uchi mbele...
3 Reactions
89 Replies
26K Views
Kuna utafiti naufanya,so ningependa wanawake wa dar mfunguke vilivyo,huwa mnatuchukuliaje wanaume tunaoishi mikoani?ukimuona mwanaume wa mkoani unapata picha gani kichwani mwako mfano?
4 Reactions
95 Replies
11K Views
Hii inakera sana. Kuna dada mmoja rafiki yangu ameolewa miaka mitatu iliyopita ni msomi na anafanya kazi kama Muhasibu katika kampuni kubwa hapa nchini, wote wanaumri si zaidi ya miaka 30. Mara...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Natumaini mu wazima wana MMU. siku si nyingi miliwahi sikia mtu akiongea kuwa mwanamke anawezafanya kitu kubadili /kuongeza kdg joto la mwili wake ili kumpagawisha mwanaume kwenye sex. Naomba...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wazee wa Jukwaa nawasalimu Nimekuja kwenu kuomba ushaur mim ni mwanaume niko kwenye uhusiano na binti mmoja na nampenda sana sio kidogo. Naomba nirudi nyuma kidogo ili nieleweke. Huyu dada...
2 Reactions
94 Replies
9K Views
Sifa za mtafutaji, Jinsia : Me Umri : 24yrs Elimu : Chuo Kazi : Nimejiajiri Dini : RC Kabila : Sukuma Mahali ninapopatikana : Kanda ya ziwa Sifa za mtafutwaji, Jinsia : Ke Umri...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Salaam, Nauliza tu kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Wengi tunaamini hivyo, hata mahakamani wanaamini hivyo, sasa humu jukwaani hebu tupeane elimu kidogo kuhusu suala hili, nisije...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu. Wakuu ktk pitapita zangu...
6 Reactions
688 Replies
119K Views
*1. Tamaa ya utajiri* Fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
Wasallaam Wapendwa Najua wachache wanafahamu kama nimeoa hivi karibuni..Nashukuru Mungu mambo yanaenda poa japo kuna changamoto za hapa na pale... Ninachotaka kushare nanyi ni juu ya hawa wadada...
10 Reactions
96 Replies
7K Views
Tunamshukuru MUNGU,
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF, Humu ndani nadhani sote tunajua mapenzi, kuna waliooa/olewa na ambao bado, ila karibu wote tunajua mapenzi na wengine mnawaza kuingia kwenye mkataba huo kati ya mke na mme. Sasa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mara nyingi utakuta mwanamume anakuwa analaumiwa kwa kuwahi sasa mwanamke amewahi je nae alaumiwe ?ina maana gani hii?
0 Reactions
49 Replies
32K Views
Hello friends, If you are just t home, alone, stressed, hamu ya kula hamna, usingizi hauji, mkikaa na majirani stori haziendi unajikuta ilimradi upoupo tu uangalie muvi wapi, sikiliza muziki...
6 Reactions
171 Replies
10K Views
*PASTOR W. F. KUMUYI MESSAGE TO THE CHURCHES* I slept around 10:20pm, not quite long after laying on the bed, I heard God calling Me Audibly So I Woke Up. When I Checked My Time, It Was...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom