Bree ven
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 375
- 363
Kwa nini iko hivi? Baadhi ya wanaume anamtongoza mwanamke, anamwambia nakupenda tena kwa kumwandikia tu message kupitia simu. Na mwanamke kwa upande wake hata haja reply chochote kama vile nakupenda pia. Cha kushangaza mwanaume anaanza kutangaza kwa washkaji zake kua oooh huyu shemeji yenu na washkaji nao wanaanza ushemeji shemeji. Kwani hii inamaana gani, au ni kosa kwa mwanamke kua karibu na mwanaume just being a friend?