Habari wakuu,
Naandika hapa nikiwa na shauku ya kujua mafundisho ya unyago.
Naamini kuwa kuna wanawake wapo hapa JF walibahatika kupata mafunzo hayo.
Jamani tusaidieni na sisi tujue mafunzo hayo...
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai...
Mimi ni mwanaume umri 35, natafuta rafiki wa kike ambae ni mpweke anyeishi Arusha kwa ajili ya kuchat na kubadilishana mawazo...awe na umri wakuanzia miaka 20 hadi 30...Kwa alitayari afadhali...
Leo NIzungumzie wanawake ambao ni majanga na ukijichanganya ukaingia nao kwenye maisha ya ndoa, inakula kwako.
Anaona unamsaliti kila mara
Huku kunatokana na kutokujiamini tu. Ukioa mwanamke...
Unakuta mwanaume ameoa mke ni mzuri wa sura shepu na sifa nyingi ..Lakini bado macho haya pazia .... Ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kutulia indeed na wake zao?? tusaidiane wadau
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.
.
Jitu...
(a) pesa ? basi mbona wenye nazo wanasalitiwa?
(b)Mapenzi ya kweli? mbona Hawa kila siku ndo wanaongoza kwa kukataliwa?
(c)Wenye mwonekano mzuri?Mnawaita madume suruali?
Hivi mnatakaje ????
Habari zenu wadau,
Nilikuwa na hamu sana kuja kuoa pale ifikapo awamu ya tano, Lakini kutokana na hali alisi ya maisha ilivyo kiukweli naona nisogeze wazo langu mbele kidogo.
Nitafikiria tena...
Unakuta kidemu ni kidoogo adi baasi, mitoto ya siku hizi si mnajua inavyoanzaga huu mchezo ikiwa midogo sana, sasa unakuta ata ukiingia nacho gest unaenda gest ambayo ina dari na dirisha la...
Ni mgeni sana katika mtandao huu maarufu, nimejitokeza leo nami nitupe huku karata yangu kutafuta mke wa kuoa, na hii ni baada ya kuona jamaa zangu kama watatu wamefanikiwa kupitia JF, umri...
Naomba nielezee kwa ufupi ......
Nmeishi na mke wangu kwa muda bila kupata mtoto. Nikaona nitafute mwanamke mwingine labda tatizo linaweza kuwa kwa mke wangu " yule mwanamke...
Habari za asubuhi waungwana,
Kuna kitu naomba kuuliza, hivi ni kawaida au ni sawa kwa mume/mpenzi kumfulia nguo za ndani mkewe au mpenzi wake?
Yani sio kama mara moja kwa week au akiwa na mood...
“Hapana huyu si mume wangu, ila niko naye tu kwa ajili ya kujipumzisha” “Aah, yule msichana wa jana usiku? Siyo mchumba wangu, ‘nazuga’ naye tu, mchumba wangu yuko masomoni.” “Hapana yule ni...
BY DAYAN MASINDE
1. “Don’t be stupid”
Never talk to her as if you find her foolish at the spur of the moment. You didn’t commit to a foolish woman.
2. “Control your kids”
Never alienate...
Ni ajabu sana kuna rafiki yangu leo kaniambia eti yeye ana nguo moja ya ndani/kufuli moja tu ndani kwake.
Japo mimi sio mvaaji sana ila ninazo nyingi. Imebidi tumchangie tumnunulie dazen halafu...
NA
Nihzrath Ntani Jnr
Mwili wa Fredrick Richard mwenye umri kati ya miaka 25-33 ukiwa tayari umegandamizwa na mchanga katika shimo la futi sita kwenda ardhini. Ni katika ardhi...
Ndugu zangu,
Huwa inatokea muda mwingine nyakati za jioni natakiwa nijumuike na waname wenzangu tukae vikao vya faragha ambavyo sio mara kwa mara lakini kila nimpapo taarifa mwenza wangu...
Habari waungwana,
Eti wanasema baadhi ya wale wadada wanaouza miogo, nazi na machungwa wanaotembeza kwenye mabeseni wanajiuza mzee niliomsikia akisema ivo.
Amesema yeye ashajaribu kama mara...
Wanawake ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono,tamaa ya pesa, tamaa ya u-handsome boy, tamaa ya six packs, tamaa ya luxurious things...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.