Nianze, kumshukuru Mora.
Nimegundua vijana wengi tunaogopa maisha, niliplan nitafanya kazi kwa miaka mitatu then naoa, kweli nimefanikiwa kama nilivyopanga, sisi ni wanandoa wachanga sana, kiumri lakini toka nimefunga ndoa nafurahia sana haya maisha na nilimpata kwenye mtandao.
Somo, mke anaweza kupatikana popote, tuache uoga wa maisha. Maisha yamekua nafuu kuliko nilivyotegemea.