Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,808
- 2,911
Mambo vipi wana MMU,
Kama mnakumbuka nilileta uzi wa binti ambaye nilifumaniwa nikiwa nae. Yaani alotufumania ni mchepuko wangu, sasa leo hii kaamua kunisalimia na kutaka kurudisha picha zangu alizochuaga kipindi penzi limekolea. Ila kwa kuwa sina time nae nimemjibu kifupi tu "rudisha" maana inafikia hatua ishakuwa kero sasa.
Sometime ananitumia ma sms marefu mara usiwaumize wanawake nikimuuliza wewe nakuumiza kivipi hasemi. Its too much embarrassing, sometimes usiku anatumaga sms usiku mwema, sasa mimi huwa sipend mtu anitakie usiku mwema bila kujuliana hali.
Ni hayo tuu tunakoelekea tutaimba kawimbo ka Rich mavoko ibaki stori