Eti mwanaume kuoga pamoja na mkewe ama mpz wake sio upendo kama tunavyodhani. Ila inaaminika kuwa ni kutompa nafasi mkewe/mpz kupekua simu. Ama kupokea simu.
Je, hapo kuna ukweli?
Hawa watoto wa shule wanamatatizoDah! Kwani hili la wapenzi kuoga pamoja limeanza baada ya kuingia simu za mkononi?
when you hate something too deep..Ccm inahusika vipi hapoKwani mpenzi huwa anapekuwa simu muda wa kuoga tu?
Je ukiwa umelala fofofo?
Umeuliza swali la hovyo bila shaka wewe ni ccm
Eti mwanaume kuoga pamoja na mkewe ama mpz wake sio upendo kama tunavyodhani. Ila inaaminika kuwa ni kutompa nafasi mkewe/mpz kupekua simu. Ama kupokea simu.
Je, hapo kuna ukweli?
Swali zuri sana.Dah! Kwani hili la wapenzi kuoga pamoja limeanza baada ya kuingia simu za mkononi?
Hahaaaaaaa nimeipenda hyoUyu wa kwangu inabidi nioge nae ili nimsaidie kusugua msambwanda wake.
Post zingine bila kapicha ni kama supu ya mapupu bila mapupu yenyeweUyu wa kwangu inabidi nioge nae ili nimsaidie kusugua msambwanda wake.