Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni tukio la kufedhehesha ila ndo hivyo maisha lazima yaendelee. Mchumba wangu kumpata mzungu kaondoka naye kwenda Ulaya licha ya kuwa nilishalipa mahari. Ilikuwa ngumu kuzoea hiyo hali ila ndo...
3 Reactions
66 Replies
7K Views
Kuna haka katabia unaweza kuwa na mtu wako(Mwanamke)eidha wa ndoa au mko kwenye mahusiano,Huwa wanatabia yakuja kusema mtu fulani kanitongoza !! Huwa najiuliza Hivi mbona wale anaowakubalia Haji...
7 Reactions
86 Replies
5K Views
Copy&Paste. Nimekaa nimewaza sana kuhusu mwanaume aliyejiua kisa Mwanamke aliyemfungulia duka na saloon nikajifunza mambo yafuatayo.... • Kuwa na mwanamke 1 tu eti ndo mwanamke wa maisha yako...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Baada ya kufunga ndoa Abdul alihama nyumbani kwao, alitafuta chumba mtaa wa pili dakika tano tu kutoka nyumbani kwao. Hii ilimfanya kuwa karibu na familia yake, mara kwa mara akitoka kazini...
19 Reactions
23 Replies
2K Views
Inawezekana wengine mliingia kwenye ndoa 'haraka, haraka' ili muanze zoezi la kupata uzao lakini mambo ndio yamegoma. Kuna wengine wamekaa hata miaka kumi bila kupata mtoto kwenye ndoa hivyo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za J3 wapendwa Leo hii nimepata kesi ya Anna, Anna ni mtoto wa kwanza katika familia yao, baba yake ni mwalimu mkuu wa shule huko kwao mkoa ninauhifadhi. Anna alifaulu darasa la saba na...
6 Reactions
149 Replies
9K Views
Hey there! Please if you are not a lady stay out. Wadada wenzangu habari! Lengo la kuanzisha uzi huu ni kuwaomba tuongee na kushauriana mambo yanayotuhusu sisi Wadada /wanawake. Kumekuwa na...
16 Reactions
81 Replies
6K Views
Habari za jumapili wangu. Naomba Tusaidiane mawazo ni kwa namna gani tunaweza kuwapatanisha ndugu hawa wadamu. Nina rafiki yangu ambaye katika familia yao wamezaliwa wanne na yeye...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Bwana Chapati alikuwa classmate miaka hiyo, tulipata bahati ya kuonana jana kwenye sherehe ya harusi tukiwa wote kama wageni. Ilikuwa ni furaha kukutana na mtu mnaefahamiana na furaha inazidi...
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Kuna mgeni tumekua nae kwetu kwa wiki sasa, wife alinieleza kuwa ni binadam yake mtoto wa shangazi yake, kiumri wana rika moja na wife. Ukoo wa wife nawafahamu wote kule kijijini sasa madai ya...
25 Reactions
253 Replies
21K Views
Dunia imegeuka sana kwa kweli na wanawake wamekuwa katili sana kiasi kwamba hata kwenye familia imekuwa ngumu kuwaamini wanawake kwa sasa! Nimekutana na picha kwenye mitandao zinaonyesha mwanaume...
0 Reactions
55 Replies
12K Views
Wanaume wengi tunapenda kufunga ndoa za gharama nafuu lakini wenza wetu ukiwapa mkakati huo wanageuka mbogo na kuwa wachungu kama shubili. Sasa ebu tuchukue somo kupitia vijana hawa kutoka nchini...
7 Reactions
97 Replies
9K Views
Jamani kuna mahali nimeiona hii naomba ku share nanyi, ingawa sina hakika na ukweli wake hasa mgawanyo wa hizo namba. According to the New world population statistics, Population stands @7.8...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Wanasema Arusha ni mji wa wagumu na ndio maana una sifa ya kuwa na Wasanii wengi wanaofanya Hiphop lakini ugumu huo usiutegemee kwenye ndoa, Wanaume wa Arusha mwaka 2016 wameshindwa kuvumilia na...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, Namheshimu sana mke wa mchungaji huyu ni jirani yangu tumepanga nyumba moja lakini mambo anayonifanyia hadi naona aibu, ndani ya nyumba hii ina public toilet ndani, anapenda...
0 Reactions
58 Replies
13K Views
Kuna habari hapa kuna dogo huko Tunduru mkoa wa Ruvuma umri miaka 11 amemkataa mama yake mzazi kwa madai ya kwamba ana mshurutisha sana, dogo alipopewa nafasi ya kujieleza mbele ya kikao rasmi cha...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu na habari za hapa Jf, Nimekuja kwenu kuomba ushauri, ninatatizika. Miaka mitano iliyopita, niliajiriwa na ofisi fulani. Baada ya kuajiriwa, nilianzisha urafiki wa kimapenzi na...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye nilikuwa sijui historia yake ya mahusiano na tayari tuko kwenye process za yeye kutoa mahari, mdogo wangu anayenifwata aliposikia ni...
2 Reactions
64 Replies
7K Views
Wakati mwingine siyo lazima wote tuchangie kila mada. Unakuta mada ya mwanaume anatafuta mpenzi/ mchumba au mwanamke anatafuta mchumba na katika bandiko lake ameweka umri na vigezo. Wewe unajijua...
6 Reactions
0 Replies
609 Views
Kichwa cha habari kinajieleza je nikapime HIV naogopa maana nimechepuka sana kavukavu msaada wenu wadau
5 Reactions
69 Replies
6K Views
Back
Top Bottom