Bado sijapata mume wa familia

Unataka mume mtarajiwa awe na miaka 40 or above! Are u serious?, hv kwa maisha ya kibongo umri huo si tayar mtu ana familia yake? Au unataka kuolewa uke wenza? Kuchagua sana ndio kunawafanya mabinti wengi kutoolewa na most of them baadae mnaishia kuwa shingle mother kwa kujifanya mnaweka vigezo vingi utadhan unafanya usaili wa kutafuta wafanyakazi wa kampuni yako
 
vijana mnasumbua pia waongo bora watu wazima wenzangu
 
Hiyo dhan ya vijana wanasumbua umejijengea kichwan mwako au labda kwa kuwa ulikuwa na kijana akakusumbua ukahisi wote wako hivyo BUT believe me or not kuwa na umri mkubwa sio kukomaa kiakili na kifikra ila jitahidi kupata mtu aliye serious anayejielewa vinginevyo usawa huu watakuchezea sana kwa kuwa unaonyesha uhitaji sana wa ndoa
 
Back
Top Bottom