Natafuta familia kupitia mtandao huu

mama mtarajiwa

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
290
449
kwa jina naitwa malamia
kabila langu mchaga
umri wangu miaka 35
mchapakazi sana
elimu ya chuo
sijawai kuolewa
sijawai kuzaa
naishi dodoma ila mwakani nitahamia dsm nimeajiriwa
dini mkristo
sinywi pombe
natafuta mwanaume mtu mzima anaejielewa kwa mahusiano ya moja kwa moja .
awe mtu mzima sana miaka 40 mpaka 60
email
nyotanjema2017@gmail.com
 
vp nikiwa chini ya umri wako ila niko smart kuna tatizo, kama hakuna tatizo naomba nije mana nami najielewa sana
 
Nimegundua kitu mademu wengi wa kichaga umri ukienda wanakua na stress sana ya ndoa, we sio wa kwanza hapa jukwaani umri in huo huo na kabila like lile otherwise use ni mtu mmoja unabadiri account!
 
Nimegundua kitu mademu wengi wa kichaga umri ukienda wanakua na stress sana ya ndoa, we sio wa kwanza hapa jukwaani umri in huo huo na kabila like lile otherwise use ni mtu mmoja unabadiri account!
Labda usipokuwa umeolewa itakuwa hawajakamilika, lakini tumuombee ampate mwenza wake wapendane,wavumiliane na wawe na hofu ya mungu
 
Mungu akusaidie upate mchumba haraka maana tayari unavuka umri mzuri wanaoshauri wataalamu wa kuzaa. Wataalamu wa afya wanashauri kuzaa ni kuanzia 20 - 35
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom