Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ilihali wapo dada zangu na mama yangu hao hawahusiani hapa mliobaki ambao kaeni chonjo sababu uwezo ninao, nia ninayo na uthubutu ninao. Kiasi mlichoniumiza na kunisigina wanawake imetosha sasa...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari zenu wana JamiiForums, Kuna baby gal mmoja hivi nashindwa kumuelewa. Ni muda sasa kama wa miezi 2 hivi kuanza nifahamiane naye na anaonyesha dalili za kunikubali lakini kila kila nikimpa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nifanye nini nisiwe busy na internet? Internet inanifanya busy mpaka nachelewa kulala, saa hizi saa 6 sijalala labda nitalala saa 8 asubuhi. Usiku wote nawatch series, porn, music, i watch...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Nilikua na tabia ya kwenda kunyoa salun moja hivi kigamboni kwa bahati nzuri wafanyakazi wa kike walikua watatu, sasa mmoja katika maongezi ya hapa na pale tukagusia habari ya zanzibar. Kumbe...
16 Reactions
141 Replies
10K Views
Wadau amani iwe nanyi, Hivi karibuni nlituma Uzi hapa kuomba ushauri njia ya kufanya kuacha kumpigia pigia simu na kumtumia SMS mchepuko wangu; Mbinu ya kuacha kuchat na kumpigia pigia simu...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari Wakuu Niliwahi kuleta uzi tar 11 Feb '17 nikiomba Ushauri Njia sahihi nayoweza kuitumia kumdai rafiki yangu pesa Bila ya kupoteza urafiki. Kwa kifupi baada ya Jamaa kutopokea simu zangu...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Good morning Tanzania, Kwanini wababa wa Tanzania hawapo karibu kulea watoto wao wa kike kama wababa wazungu. Wababa wa Tanzania wanaachia wamama kulea watoto wakike wababa wazungu wanakua karbu...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna muda unakabwa , unaona Dunia kama vile si muhisika ndani yake, maana hauelewi kama,umeumbwa ndani yake, moyo unakata Tamaa macho yako yaona kiza kila unachogusa si sahihi, kwako kwani hauoni...
4 Reactions
4 Replies
45K Views
Habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mwembamba mrefu maji ya kunde naishi Dar na nimeajiriwa serikalini, nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi; Awe muislamu wa ukweli awe na umbo zuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana JF, Sijui mimi ni mtu wa namna gani yaani siwezi kutulia hata siku bila kufanya hivyo. Msaada please. Nampenda sana mpenzi wangu ingawaje yuko mbali nami siwezi kufanya...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wasalaam wandugu.... To the topic... Well imekua ni jambo la kawaida sanaa kwa wengi wetu sisi wanaume/vijana kutamani wanawake warembo na kuishia kulalamika....ooh sijui wanawake wa siku hizi...
11 Reactions
128 Replies
9K Views
Nawasalimia kwa upendo. Ninaomba nitoe ushuhuda ambao kupitia siku hiyo niliweka nadhiri ya kuyafuta machozi ya mke wangu na kumfanya ajivunie mimi kuwa mumewe pia ajifaharishe na ndoa hii...
103 Reactions
193 Replies
22K Views
Habarini wana mmu, Mimi Ni mwanamke ambaye nimeolewa na Nina Mtoto mmoja mchanga miezi 3, tatizo nililonalo Ni kwamba mume Wangu huwa hapend kukaa nyumbani yeye akirud kutoka Kazini Ni kupumzika...
8 Reactions
134 Replies
11K Views
Habari za leo wana JF. Mimi ni kijana wa miaka 33 na sasa nimeamua kuoa. Mimi nina elimu ya chuo kikuu, nimeajiriwa, na ni Mkristo niliyeokoka. Napenda kujituma katika malengo mbali mbali ya...
3 Reactions
87 Replies
8K Views
Nina miaka 40 msomi nimerudi hivi aribuni toka masomoni ng'ambo. Natafuta msichana amabaye yupo tayari kwa mahusiano yenye mwelekeo wa ndoa. Sijali rangi au mwonekano ajali internal beuty. Aliye...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari za mchana wana JF wenzangu.....kuna hiki kitu tunakichukulia poa sana katika maisha haya haswahaswa wadada aisee.... Unakuta mtu kamjua mkaka juzi tu basi anaanza na mawazo yake ya kutaka...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Ukimwambia mambo anaitikia kwa herufi p na k 2. Ukimuomba picha anakwambia wew mbona hujantumia [emoji23] 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu mengine ni uvivu kutype 4...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwenzenu nadhani huu ni uraibu wangu, kiukweli huu ufundi wa kuzungusha viuno kwa dada zangu kwakweli unanipagawisha vibaya sana, yaani kama video kuna video wadada wanakatika basi hiyo itakuwa my...
1 Reactions
44 Replies
8K Views
Hivi ni njia ngapi wenzangu mnatumia kupata wapenz JF au kuna vigezo vinavyohtajika tofauti na pesa.
0 Reactions
88 Replies
6K Views
Back
Top Bottom