Njia gani mnatumia kupata wapenzi JF?

wakusoza

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
628
648
Hivi ni njia ngapi wenzangu mnatumia kupata wapenz JF au kuna vigezo vinavyohtajika tofauti na pesa.
 
Sema chochote tu... Mwanamke atakayevutiwa nacho huyo huyo mkabe..
 
Mwanamke mzuri ni Uliyenaye saivi kaka wa JF unatafuta balaa, utakuja na stori umetapeliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom