my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,390
Nifanye nini nisiwe busy na internet?
Internet inanifanya busy mpaka nachelewa kulala, saa hizi saa 6 sijalala labda nitalala saa 8 asubuhi. Usiku wote nawatch series, porn, music, i watch everything hakuna kitu nimebakisha, saivi holiday siku za shule naamka kwa ugumu sina time kuongea na mtu.
Zamani nilipenda kuchat saivi sina time na kuchat, sina time na simu, mama ananiambia we endelea na tabia yako sisi tukilala we amka sisi tukiamka we lal,a nifanye nini niwe kama zamani.
Msaada please nisiwe nakesha kwenye internet.