Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Does that phrase sound familiar ?? Ulisha wahi ambiwa hvyo na mpenzi wako au mtu wako wa karibu when dating ?? Ili kua kuaje ?? Ulijiskiaje ?? Ulichukua hatua gani ?? All is well once...
27 Reactions
251 Replies
18K Views
To First Lady1 Grade 7.0 S.M Sub: Offer of love! Dearest Ms F.L1, I am very happy to inform you that I have fallen in Love with you since the 14th of October (Saturday). With...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kupenda ni ugonjwa na usiombe kupenda adi kuubwaga moyo na uliempata ukawa na malengo nae ya kuishi nae kama mke na kujenga familia kiukweli kwa mwanamke unaempenda na una malengo nae kuna michezo...
4 Reactions
54 Replies
12K Views
Nilichokiona humu na uzoefu wangu wa miaka 6 humu JF, kwa sasa mambo yamebadilika. Unakuta Id Neema jinsia mwanaume na picha za kike kwenye avater na jina Fetty kumbe dume. Kuweni makini ndugu zangu!
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaume wanaoishi maeneno ya Pwani kiukweli wanawapa polisi mzigo mkubwa sana. Nimepata malalamiko toka kwa Jamaa yangu Polisi kituo flan anasema alikuja mtu analalamika kuwa anachukuliwa mkewe...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
HAbari wana JF Mimi nina tatizo ni kua na hasira sana yaani sijaligi ata kama ni mkubwa wangu mdogo au ata rika langu wote huwa nawagombeza na hata kupigana na kuwatukana sana Baada ya kufanya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda. 2. Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao ila Wanawake hupima...
13 Reactions
48 Replies
10K Views
Habari za muda huu wakuu, Hivi karibuni hapa mtaani kwetu kuna jamaa huwa namuona mara kwa mara akila michele na maembe mabichi,baada ya kuuliza wadau wakanambia mke wake ana mimba so...
1 Reactions
19 Replies
9K Views
1. Awe mtu wa kumcha Mungu. 2. Awe mjuzi wa kupika na awe anajifunza mapishi mapya haraka. 3. Awe na mahusiano mazuri yaliyoshibana na mama yako. 4. Apate karibu asilimia 70 za kukubalika kutoka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau, Nina tatizo la kupenda kupiga simu na kuchat chat na mchepuko wangu lakini siku hizi anajifanya busy sana natamani niache kabisa kumtafuta manake naona anajiona keki sana kisa nampigia...
4 Reactions
65 Replies
13K Views
Huyu binti bwana ni mzuri sana! Huwa tunakutana every weekend kwenye social activity flani hivi! Huwa anapenda kukaa few metres from me! Yaani ni lazima, siku nyingine ikatokea tukakaa karibu...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, Hivi mtu umeoa mke toka nyumbani kwao kabisa kakaa na wazazi wote wawili mpaka unamuoa, unazaa naye mtoto mmoja baada ya miaka miwili unamwambia mama tuongeze mwingine wa pili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za humu wanajamiiForums, Tangu saa 10 jioni nikiwa njiani kuelekea nyumbani kutoka kazini baada ya kumaliza kazi za leo, nimejikuta ghafla sina pete ya ndoa na katika kumbukumbu zangu...
0 Reactions
138 Replies
12K Views
“Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kula chakula kimya akiwa tayari...
6 Reactions
19 Replies
4K Views
Wanahabari wenzangu, Sidhani kama hapa JF kuna mtu hajakutana na hii ya simu yangu imeingia maji au imeibiwa na sasa hivi natumia ya mama. Hata nyie wasichana kama mnasoma hapa mjue hii mbinu...
7 Reactions
88 Replies
8K Views
Naelewa ananipenda sana na me nampenda ila sababu ya umbali tuliopo ameondoa imani kwangu, kila jambo ninalojaribu kumwambia anaona kama namdanganya,amekua mtu wa hasira muda wote kwangu...
2 Reactions
75 Replies
5K Views
Habar wadau , kila miezi na mwaka unaposegea nahisi kuzongwa na majukumu mengi kazin na kuweka majukumu binafsi ya maisha ila kila kila ninapojaribu kupangalia mambo yangu yote ya ki ofc na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna wakati najiuliza inakuaje mmetongizana vizuri mkaishi vizuri lakini siku mkiachana inakua kwa matusi kashfa na hata kupelekana police Binafsi Hali hii ishanikuta kwa mademu wa4 wote...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Niliwahi kuoa nikamuacha mke wangu wa kwanza na kwa sasa niliamua kuishi tu na mtu kama mke na mume, kwa bahati nzuri amepata ujauzito, tupo karibu kimazungumzo kama mtu na mdogo wake yaani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom