adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Ilihali wapo dada zangu na mama yangu hao hawahusiani hapa mliobaki ambao kaeni chonjo sababu uwezo ninao, nia ninayo na uthubutu ninao.
Kiasi mlichoniumiza na kunisigina wanawake imetosha sasa vita nimetangaza kwa huyu niliemfanyia naona haijatosha na kiu yangu haijaisha ya kuwalipizia.
Nilimvalisha pete nikampeleka kwetu akanipeleka kwao wazazi wote wakajua namuoa lakini nilichofanya nikatembea na wadogo zake wawili na akajua kisha kwa uchungu na hasira akaja kunitupia pete ofisini mbele ya staff wenzangu sikujuta ila nilifurahi nikaona amepata kidogo kwa nilichotaraji.
Nachukia wanawake na sitawapenda kwa usaliti walionifanyia, siamini kama maisha yangu yaliyobaki nitapenda tena zaidi za kuigiza tu kama Wema.
Ubaya unakuja kwamba uwezo ninao wa kumpata ninaemtaka na kumuumiza nitakavyo, am desperate to see them suffer.
Mungu nisaidie kisasi nitaumiza wengi sana kwa kisasi, nitaumiza hata waliomizwa tayari sitajali.