Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari zenu wana JamiiForums,
Kuna baby gal mmoja hivi nashindwa kumuelewa. Ni muda sasa kama wa miezi 2 hivi kuanza nifahamiane naye na anaonyesha dalili za kunikubali lakini kila kila nikimpa promise tukutane somewhere tuongee kwake imekuwa ni tatizo.
Sasa jana tumekubaliana tukutane mitaa fulani hapa mwanza akakubali nimemsubiria weee! mpaka nikachoka mwishowe kanipiga simu amepata dharura, sasa amekuwa ni mtu wa sababu kila kukicha na anadai mbona tukiongea kweneye smu inatosha. Hivi jamani ni wakina dada ndivyo mlivyo au huyu wangu tu.
Ushauri jamani nitumie njia gani maana anaonekana ana mashaka sana na huu mwaliko wangu sijui anafikiria nini.
Nawasilisha