Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wadau amani iwe nanyi,
Hivi karibuni nlituma Uzi hapa kuomba ushauri njia ya kufanya kuacha kumpigia pigia simu na kumtumia SMS mchepuko wangu;
https://www.jamiiforums.com/threads/mbinu-ya-kuacha-kuchat-na-kumpigia-pigia-simu-msichana.1207221/
Mbinu ya kuacha kuchat na kumpigia pigia simu msichana
Nashukuru nilipata mawazo mawili matatu na kupunguza stress kwa asilimia kubwa, nikiri tu kwamba JamiiForums ni sehemu nzuri ambayo mtu ukiwa na stress unaweza ingia na kupata ushauri mbalimbali wa wanajukwaa.
Kiukweli tangia nifuate ushauri wa baadhi ya wadau humu nimeanza kumsahau na kukoma kupiga simu na kutuma SMS kwa yule mwanamke ingawa Jana alinitafuta nimpigie nikampigia akanikumbusha tu inshu flani basi nikampotezea, namba zake sina nilishazifuta na Leo tangia asubuhi hadi sasa naandika uzi huu sijamtafuta, nipo tu mtaani nalewa nikalale kesho nianze safari ya kurudi ninakoishi. Naomba wadau msichoke/tusichoke kupeana faraja katika matatizo mbalimbali yanayotukuta.
Nawapenda sana marafiki zangu wote wa huku JF