Ni kwa jinsi gani naweza kumpunguza hamu ya kufanya mapenzi?

sirnare

Senior Member
Nov 27, 2016
120
23
Habari za wakati huu wana JF,

Sijui mimi ni mtu wa namna gani yaani siwezi kutulia hata siku bila kufanya hivyo. Msaada please. Nampenda sana mpenzi wangu ingawaje yuko mbali nami siwezi kufanya usaliti ni kwa jinsi gani naweza kujizuia?
 
Ukifanya Mapenzi unafaidika na nini na usipofanya unapata hasara gani?.

Ikiwa hakuna hasara na faida kaa utulie
 
Fanya mazoezi!!! Kama bado basi nunua daftari au kama una laptop basi fungua microsoft word na uanze kuandika kitabu.
 
Back
Top Bottom