Kwanini wababa wa Tanzania hawapo karibu kulea watoto wao wa kike?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,390
Good morning Tanzania,

Kwanini wababa wa Tanzania hawapo karibu kulea watoto wao wa kike kama wababa wazungu. Wababa wa Tanzania wanaachia wamama kulea watoto wakike wababa wazungu wanakua karbu na watoto wakike wanawalea vizuri.Wazungu mtoto wakike mkubwa bado yupo karibu na baba yake kwanini wababa wa Tanzania wanashindwa kulea watoto wa kike?
 
Mimi Niko carefull kila jmos lazima mwanangu anet nimfundishe hesabu
Umenikumbusha jirani yangu baba Irene huyu baba kwakweli wanae wampende tu... Ana watoto wa nne wote wakike, wapili, tatu na nne wamelingana kama mapacha basi asubuhi baba yao anawapikia uji, anawaweka kwenye pots anawasafisha, anafua nguo zao, anawapa uji ndo anaenda kazini hiyo ni kila siku ya calender, mke yupo ila watoto wake anawahudumia sana nlikua namkubali sana jirani
 
Sio limbwata hiyo !! Hebu tofautishA
 
Tunaogopa kusaidia kwa %100 ili jamii isitwambie hivo.kama wewe usivoweza kupiga denda adharani ukiogopa jamii itasema nini juu yako
Hata huku kuishi ukiangalia jamii inasema nini ni sababu pia ya wababa kushindwana kujali watoto wao
 
Sio tu watoto wa kike, wababa wengi wa kibongo wapo careless kwa watoto wao haijalishi jinsia

Nakuunga mkono kwa 100%! Hili nimelishuhidia mara nyingi sana, kwa mfano ukienda kumtebelea mtoto aliyeko Shule ya boarding labda tuseme ni siku ya wazazi, hapo kuona baba wa mtoto ni nadra sana, asilimia zaidi ya 85% ni wamama tu na hapo, ujue mtoto ameondoka nyumbani kwa miezi zaidi ya mitatu lkn bado siku ya kwenda kumtembelea bado baba haendi, sasa huwa najiuliza hivi kweli haumkumbuki mtoto wako? Miezi 3 haujamuona na bado siku wa Wazazi hauendi?
 
Umenikumbusha jirani yangu baba Irene huyu baba kwakweli wanae wampende tu... Ana watoto wa nne wote wakike, wapili, tatu na nne wamelingana kama mapacha basi asubuhi baba yao anawapikia uji, anawaweka kwenye pots anawasafisha, anafua nguo zao, anawapa uji ndo anaenda kazini hiyo ni kila siku ya calender, mke yupo ila watoto wake anawahudumia sana nlikua namkubali sana jirani

HILI NI LILE LIMBWATA LA KUKOMAA
TENA LENYE MANYOYA
KUTOKA MSUMBIJI!!!
 
Nakuunga mkono kwa 100%! Hili nimelishuhidia mara nyingi sana, kwa mfano ukienda kutembelea mtoto aliyeko shule ya boarding labdatusema ni siku ya wazazi, hapo kuona baba wa mtoto ni nadra sana, asilimia zaidi ya 85% ni Wamama tu na hapo, ujue mtoto ameondoka nyumbani kwa miezi zaidi ya mitatu lkn bado siku ya kwenda kumtembelea bado baba haendi, sasa huwa najiuliza hivi kweli haumkumbuki mtoto wako? Miezi 3 hujamuona na bado siku wa Wazazi hauendi?
Hapo utakuta baba anaagiza utampa hizi hela kumbe uwepo wake ni muhimu kuliko hela, wababa wa kibongo eeh ni shida
 
Back
Top Bottom