Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,091
Habari Wakuu
Niliwahi kuleta uzi tar 11 Feb '17 nikiomba Ushauri Njia sahihi nayoweza kuitumia kumdai rafiki yangu pesa Bila ya kupoteza urafiki.
Kwa kifupi baada ya Jamaa kutopokea simu zangu wala kanijibu texts kwa siku tatu straight, niliamua kukaa kimya maana hasira zilinizidi. Juzi jumapili (feb, 26) out of nowhere nikapokea simu kutoka kwa jamaa apologizing for how he acted na kunipa sababu zilizopelekea afanye vile. Akaniambia atanilipa immediately na hatimaye Leo, nimepokea mzigo wote kamili kwa Njia ya mpesa.
Hitimisho: I'm glad nimepata pesa na urafiki unaendelea na pia nimejifunza somo muhimu, Shukran kwa wote mlionipa Ushauri.
Naomba Ushauri jinsi ya kudai deni Bila kupoteza urafiki