Unafikiri ni watu gani wenye tabia hizi?

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
680
627
1. Ukimwambia mambo anaitikia kwa herufi p na k

2. Ukimuomba picha anakwambia wew mbona hujantumia

3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu mengine ni uvivu kutype

4. Ukimwambia tufahamiane anasema anza wewe na ukimaliza ili yeye aanze bas anakuwa offline

5. Kawaida yao huwa hawaanzi kukutafuta hewani hata kukupa Hi tu usipomtafuta ndo imetoka iyo

6. Wamejijengea mawazo kuwa kila MTU kwenye social sites anatafuta mpenzi tu (hawawazii urafiki wa dhati)

7. Wengi hawapendi maswali na hukaa kimya ila ukiweka DP ya demu mwingine utaona txt msalimie mkeo

8. Wanapenda kujifanya wapo busy sana hawajibu txt ila ukimu add kwenye magroup ya mapenzi wanashinda wanapost tu comments

9. Mnajuana leo kesho anakuomba elfu kumi ana shida nayo sana ( maboya yanakamatwa)

10. Ukifanikiwa kupendwa na hawa mademu atakuja kwako kwa nauli yake ila kama ndo umemtokea akakubali basi andaa nauli ya kuja kwako

11. Mwisho wanaamini hakuna ndoa inayopatikana mtandaoni ( wote ni wachakachuaji tu)
..... huwa najiuliza hivi kuna dunia inaitwa mtandaoni??! Kwamba watu waliomo humo sio hawa wa hii dunia!
 
Wanaboa sana madem wa hivi. Kuna mmoja uzalendo ulinishinda i kept her in her place.

Nikamwambia " Yes u !! F*ck Off "

At tyms unakuta mtu hata hutaki kumtongoza au kupiga show. Basi tu unakuta u like the chick nd u want her to be ur friend sasa unakuta anakuchukulia vp sijui.

I have lots of respect to beautiful yet humble women. Hata kauli zangu nakua najiangalia sanaaa ila wa hivi hapana aisee.
 
Wanaboa sana madem wa hivi. Kuna mmoja uzalendo ulinishinda nikamshushia matusi ya ton 6.

Nikamwambia " Yes u !! F*ck Off "

At tyms unakuta mtu hata hutaki kumtongoza au kupiga show. Basi tu unakuta u like the chick nd u want her to be ur friend.
Kam mtu hatak ukarbu na ww kwa nn ufos?
 
Kam mtu hatak ukarbu na ww kwa nn ufos?
Nobody is forcing anyone to do anything he/she doesn't want. Its just NOT proper.

Unakuta labda umenote huyo mrembo ana potential flan au mna many things in common and unakua ukitaka kujua certain things from her on certain issues likewise na ww una share yako...sasa yeye anaitafsiri vibaya kana kwamba unamtaka kimapenzi na kujipendekeza kwake.

Instead anakuletea viji dharau na vishauzi flan hivi. Sasa kwa mtu kama mimi i pay for my own life nd run my own stuff. Huwa namwambiaga tu mtu ukweli wake straight.
 
Kwani urafiki wa karibu ni lazima?
Akutumie msg unamuhusu?
Picha yake itakusaidia nini?
Ninyi ndio tongoza tongoza ovyo mtandaoni mkikataliwa mnasema mlikuamnatania
 
Wanaboa sana madem wa hivi. Kuna mmoja uzalendo ulinishinda i kept her im her place.

Nikamwambia " Yes u !! F*ck Off "

At tyms unakuta mtu hata hutaki kumtongoza au kupiga show. Basi tu unakuta u like the chick nd u want her to be ur friend sasa unakuta anakuchukulia vp sijui.

I have lots of respect to beautiful yet humble women. Hata kauli zangu nakua najiangalia sanaaa ila wa hivi hapana aisee.

kuepuka hayo tafuta type zako na sio visichana 20yrs
 
Kwani urafiki wa karibu ni lazima?
Akutumie msg unamuhusu?
Picha yake itakusaidia nini?
Ninyi ndio tongoza tongoza ovyo mtandaoni mkikataliwa mnasema mlikuamnatania
Afu mnalalamika et hamuolewi...kwa mfumo huo ..mtaendelea kulalamika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom