Natafuta future wife

itongo

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
201
150
Nina miaka 40 msomi nimerudi hivi aribuni toka masomoni ng'ambo. Natafuta msichana amabaye yupo tayari kwa mahusiano yenye mwelekeo wa ndoa. Sijali rangi au mwonekano ajali internal beuty. Aliye tayari ani PM
 
Jamani mi hawa wa 40 ndo nawataka! Nipishane na mume miaka 10 na zaidi!!! Full kujifee baby!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom