Nina mke ambaye tunapendana sana lakini bahati mbaya tunatofautiana itikadi za siasa na michezo. Mimi ni SIMBA PURE na ni mwanachama wa CDM. Yeye ni YANGA pia CCM. Kama mjuavyo leo Yanga...
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua...
Habari za mida hii wakuu
Kwa kweli kuna mdada mmoja hapa kitaa nampenda sana japo bado sijamwambia, nataka kwanza nimzoee kupitia urafiki tu then nimtamkie hisia zangu.
Lakini kinachonishangaza...
BY ALL4WOMEN
People don’t often think about how the food they’re eating may be affecting their sex drive, but there are foods that can make your libido plummet.
1. Soy
This one is particularly...
Habarini!
Mwenzenu yamenikuta Mimi mtoto wa marehemu mama!Leo kwa Mara nyingine tena nimeona umuhimu wa kua na mama yangu mzazi duniani
Nimedhulumiwa na ndugu kabisa wa mama yangu(mdogo wake wa...
Usimlazimishe Kipofu kucheza drafti..
Kama amesema hakupendi tena na hamna future
pamoja using'ang'anie na kulia machozi.
Angalau
amekuwa mkweli kwa nafsi yake kwamba kwenye
Future plans zake...
Habari wapendwa!
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 38, nilidumu kwenye ndoa miaka 18 na kujaliwa watoto 4 wa kiume. Niliishia form 2 kwa minajili ya kutaka kuolewa baada ya kushawishiwa na...
Hihihihihiii!
Habari zenyu wanaMMU?
...
Imekua issue ya kawaida sana kukuta wadada wengi wakiwasifia wanaume wakisukuma katika suala zima la mapenzi!
Hata humu MMU kumekuwa na thired nyingi tu...
Nawaona nawaonaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,mapenzi ya watu hayakuhusu unayaingilia iliii upate ninii,,,unajua hao watu wametoka wapiii(au tumetoka...
Hapo ndo utajua waafrika c watu wa mchezo na hali ilivo Sasa joto Kali chakula shida ila bdo watu wanazid kufanya mapenz na kuwaza ngono wenzetu walioendle licha ya maisha mazur lakin sex sio...
Naam wanajamvi, wana JF, wakuu, waheshimiwa wenye hadhi yenu nawasalimu wakuu.
Naomba ambao mmewahiomba ushauri kuhusu mapenzi/mahusiano/uchumba au ndoa humu JF au mtandaoni popote na ukawasaidia...
Umemuacha mke wako kwa tuhuma kwamba hazai (tasa). Mwanamke huyo huyo uliyemtuhumu kwamba hazai na ukaamua kumuacha, kwasasa ni mjamzito baada ya kuolewa na mwanamume mwingine.
Je kama wewe...
Habari wakuu
Ninadate na manzi mmoja matata hivi tunakaa maeneo tofauti ya hapa jijini, mwezi ulioopita alisafiri akaenda kwao huko (mkoani), nikamwambia bebe niiletee kitu cha huko, kweli...
Nimeoa hivi karibuni na wakwe wametukabidhi mjengo kama zawadi. Mwezi mmoja baada ya ndoa ndugu wa mke pamoja na mke mwenyewe wanashauri tuhamie makao mapya tuachane na kupanga. Naona imekuwa...
BY DAYAN MASINDE
Dear lady, you see yourself as a good woman but you wonder why you keep attracting the wrong men. Below could be possible reasons why
1. “You go to the wrong places”
Good men...
Wadau,
Sijui ni tatizo au mimi sipendi mchumba wangu avae khanga au sketi tukiwa wawili home napenda avae nguo fupi, nyepesi nyepesi vibukta vidogo kama profile picha yangu.
Je, wewe uwaga...
Napenda mnishauri kwa hili jambo ambalo mimi huwa linanitokeaga kila ninapokutana nae Girl yeyote katika mahusiano lazima nimpe mimba.
Ni wapenzi wangu 6 sasa ninaowakumbuka kila ambae nimesex...
Habari wana jf,hapa nilipo nipo hoi kwa maumivu yakutendwa! Nibaada yakuwa mbali na maumivu haya kwa takriban mwaka na nusu hatimae leo nimefumania girl wangu akiwa katik pozi za kimahaba akitoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.