Habari za leo wana JF. Mimi ni kijana wa miaka 33 na sasa nimeamua kuoa. Mimi nina elimu ya chuo kikuu, nimeajiriwa, na ni Mkristo niliyeokoka. Napenda kujituma katika malengo mbali mbali ya maisha na kwa jinsi hiyo nimepata mafanikio mbali mbali.
Badala ya kueleza mlolongo wa sifa za ninayemtafuta, mimi naamua kutoa nafasi kwa mwanamke yeyote aliye na nia ya kweli anitumie PM akieleza upande wake. Maelezo mazuri yatanivutia kuongea na mhusika na natumaini tutafikia mwafaka. Niko serious sitanii