Napenda kuwaona wanawake wakikatika

Lumbi9

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
8,638
12,061
Mwenzenu nadhani huu ni uraibu wangu, kiukweli huu ufundi wa kuzungusha viuno kwa dada zangu kwakweli unanipagawisha vibaya sana, yaani kama video kuna video wadada wanakatika basi hiyo itakuwa my favorite automatically, kwakweli niwapongeze sana wadada kwa ufundi huo mlio nao, kama wewe ni ke na unaweza kukatika basi jua mimi ni fan wako.

Swali la kizushi kuna wanawake hawajui kukatika? Mimi sijawahi kukutana nao binafsi
 
Baadhi ya Wahaya,wazaramo,wamakonde na wasambaa wanakatika.Mabinti wazamani walichezwa unyago wanajua Ila siku hizi ni magogo
 
Huyu binti muacheni aende zake. Ujuzi wake wa kukata kiuno si wa kawaida kusema kweli tena anakata kiuno kwa maringo na madaha.

Mwenzenu nadhani huu ni uraibu wangu, kiukweli huu ufundi wa kuzungusha viuno kwa dada zangu kwakweli unanipagawisha vibaya sana, yaani kama video kuna video wadada wanakatika basi hiyo itakuwa my favorite automatically, kwakweli niwapongeze sana wadada kwa ufundi huo mlio nao, kama wewe ni ke na unaweza kukatika basi jua mimi ni fan wako.

Swali la kizushi kuna wanawake hawajui kukatika? Mimi sijawahi kukutana nao binafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom