Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajamii habari zenu? Baada ya kukaa na mpenzi huyu ambaye sasa kila kukicha naonja joto la jiwe, sasa nimeanza kumkumbuka mpenzi wangu wa zamani ambaye alinijali kwa hali zote, alinikuta nikiwa...
11 Reactions
121 Replies
16K Views
Tangu Wanawake wajue kuna Makungwi wa kufunda hatuhemi, sijui hata wanafundishwa nini huko... Maana wakitoka kufundwa wanakuja kufanyia majaribio mafunzo kwa Maboyfriend sasa, Mapenzi yanakuwa...
12 Reactions
115 Replies
17K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Najua kuna wanawake wengi wa JF humu bado hamjaolewa(singlez) na wengi wenu mnatamani kuolewa. Hivi hamuoni kua kutumia id feki na avatar feki kuna wakosesha bahati...
7 Reactions
166 Replies
10K Views
Habari wanajamii? Natoa shukrani sana kwa wale waliojitoa kunishauri hili na lile juu ya mpenzi wangu tuliyegombana nae baada ya yeye kugombana na kaka yangu. Mpaka sasa hatujakaa chini kuongea...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hello wakubwaa!! Hakika kuna watu tunabahati katika maisha. Mapenzi ni utamu kwenye ulimi wa moyo hasa umpate akupendaye. Ilikuwa mwaka juzi 2015 nilipokuwa kuwa natoka Nyumbani Moshi naelekea...
2 Reactions
139 Replies
17K Views
Ni wazi kabisa kama mke ni mwana JF basi mume ni lazima atakuwa ni mwana JF sasa kumekuwa na wimbi la wana MMU ambao wanaanika siri za ndoa zao humu, mara mwingine analalamika kakutana na makalio...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu Hapa nilipopanga naona nimepata jaribu kubwa Siku za hivi karibuni mama mwenye nyumba hapa amekuwa akinionesha dalili za wazi kabisa za kuhitaji huduma yangu licha ya yeye kuwa na muwe wake...
12 Reactions
131 Replies
18K Views
Mimi mwanaume, umri miaka 35 Naishi Dar es Salaam. Natafuta rafiki wa kike wa maisha umri miaka 30 mpaka 40. Awe anaishi Dar es salaam.Mengi tutaongea tutakapo onana Karibu
1 Reactions
4 Replies
726 Views
Hii ianzie kwetu kama wake na mpaka baadae kama wazazi wa watoto wetu, mimi sihafiki kabisa matumizi ya dawa hata kama za mitishamba tena hizi ndo kabisa maana mara nyingi hazina vipimo Je kula...
18 Reactions
301 Replies
53K Views
Habari wadau.. Hili swali najiulizaga sana hasa kwa kuangalia mifano hai toka enzi za kina Bob Sambeke, Ruge Mutahaba, Kelvin Twisa kaoa na zaidi ya 40 na wadau wengine kibao why hawaoi haraka...
3 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu ya kujenga taifa. Okay, let me cut the crap ishu iko hivi. Siwezi kuwa na urafiki na mwanamke au nikazoeana na mwanamke...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Wengine wanasema huu mchezo hauhitaji hasira; Sijawahi kabisa kwenda uvinza lakini bila kushinikizwa na yeyote na nikiwa na akili zangu timamu kwa mara ya kwanza naenda kuzama chumvini ili...
16 Reactions
171 Replies
29K Views
Wakuu, hili ni swali yaani nataka kujua tu, SIO KWAMBA INANIHUSU NATAKA TU KUFAHAMU Kama nina mpenzi anayetaka ule mchezo, na mie siutaki Naweza kumshtaki kwa lengo la yeye aache kutaka, na sio...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Jamani leo kwa namna yeyote tuambizane dedication song in this love season! "mama ya banana imfikie mama yangu halima"
0 Reactions
144 Replies
15K Views
STORY OF MISS TANZANIA SEHEMU YA KWANZA ?Patrick amka basi darling inakaribia saa nne sasa?Alisema Veronika kwa sauti laini ya kubembeleza. ?Mmmmhhh?Aliguna Patrick ,akajigeuza upande wa...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wanaume wanatia huruma sana siku hizi hasa kwenye sex. Utakuta hana uwezo hata wa kumfikisha mkewe kileleni, hivi naye huyu anajiita mwanaume au kwa sababu ili uwe mwanaume ni sharti uweze...
8 Reactions
80 Replies
9K Views
Wadau how are you ,nimempata mwanamke mmoja mitaa ya kibaha very pretty ila ni mwanga she can fly , bring precious stones, money, kill, fight and so many ila kwangu ni harmless maana ananipenda...
3 Reactions
52 Replies
11K Views
Habari Wakuu, Nimekua nikijiuliza bila kupata jawabu kuntu juu ya suala hili, Katika Uhusiano wa kimapenzi,Hivi kuna uwezekano kwa mtu ambae hamjawahi kuonana kabisa.Kwa maana kufahamiana Kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wana Jamvi, Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na kazi zenu za kila siku. Napenda kuleta kwenu mjadala huu; Hivi ni kwanini vijana wa sasa walio wengi hawadumu kwenye...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom