Habarini wana Jf
Wiki kama tatu zilizopita Mpenzi wangu amebadilika ghafla baada ya kushika ujauzito,
Nimejaribu kuvumilia hiyo hali sana kwasababu nimeshasikia kuwa wanawake wakiwa na Mimba huwa...
Habari za leo wanajamvi,
Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la...
Habari za muda huu wana JF
Kama kichwa cha habari kinavosomeka,
Kwa ndugu,jamaa na marafiki kukopeshana ni jambo la kawaida sana ktk jamii zetu ili kuweza kuendesha maisha yetu.
Je
1 Hata watu...
Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubali. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.
Mwalimu...
Kuna mama ana miaka kama 37, mama yuko manshallah tu na alinipenda nkapiga show, nikazoea nae akawa kama demu wangu, sasa mama huyu ana binti nae kanipenda japo yeye sijapiga show ila kanambia...
Habari wanabodi,
Leo nina jambo ambalo limenihuzunisha sana ambalo napenda kuwashauri wanaume wenzangu hasa wa hapa JF wanajisifia wao ni mashababi na hata wanawake walioolewa yaani wake za watu...
Habari za leo wana JF.
Ninakuja mbele zenu na hoja yangu ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta mke. Lakini kwanza nataka tuanze na urafiki wa kawaida, tufahamiane halafu tuendelee...
wakuu!
Nilikutana na msichana katika mazingira flani hivi ambapo kila siku ilikuwa lazima tuonane, na tukazoeana na ikafika wakati nikamwambia kuwa nampenda, hakunizungusha sana akakubali. ki umri...
Habari wakuu,
Ni kijana smart tangu mwonekano, tabia na fikra pia ni mdogo kwangu kiumri hivyo Mara nyingi amekuwa akihitaji msaada wangu wa ushauri kila anapokuwa na tatizo na mimi kwa kadri...
Kwa wenye watoto hostel tuwe na muda wa kuwahoji watoto wakati wa likizo mana kuna vitendo vingi vya bullying (matokeo yake baadae ni mtoto kukosa confidence ukubwani, au hata kuwa na roho mbaya)...
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji...
Ilivuma sana kila kona Tanga ni nomaaa ingawa wengine walipaita waja leo waondoka leo. Lakini watu waliofika walizidi kupapaisha kwa kudai kuwa ukifika Tanga hubanduki kabisa.
Yote hayo yalizidi...
Masalkheri wapendwa,
Leo nimekuja na story ya shost Victoriia, shost huyu sijawahi kugombana nae na nimemfahamu kwa Zaidi ya miaka 15 sasa. Shost Victoria si muongeaji wala hanaga ubuyu. Hata...
Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe...
Huo ni Unyago wa kusini Ila nililalia mwaka sipati bibi ,sasa mwaka huu sikubali.
Nilianza na Komanga sikukubali usiku kucha.
Minawa nayo pia.
Nikajaribu Kiangulo nayo pia basi nimelalia mwaka...
Kuna wale watoto walaini laini wanaoshindia chipsy tunawaita watoto wa mama maana ni wadhaifu Sana goli moja tuu wanahema mpaka povu wakaja na mbinu Ya akitoka na dem mbio kwenda kuboost na viroba...
Jamii nzima inamatatizo mengi yatokanayo na Migogoro ya kifamilia, uchumba n.k , hasa mitoso imekiwa rukuki kwa vijana wapande zote mbili na hata wasio vijana wanalia kunyanganywa wake au waume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.