Komanga, Minawa na Kiangulo unyago wa Kusini

ndanda masasi

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
772
1,177
Huo ni Unyago wa kusini Ila nililalia mwaka sipati bibi ,sasa mwaka huu sikubali.

Nilianza na Komanga sikukubali usiku kucha.
Minawa nayo pia.
Nikajaribu Kiangulo nayo pia basi nimelalia mwaka wa uchaguzi.
 

Attachments

  • 1488531851307.jpg
    1488531851307.jpg
    35.8 KB · Views: 38
Huo ni Unyago wa kusini Ila nililia mwaka sipati bibi ,sasa mwaka huu sikubali.

Nilianza na Komanga sikukubali usiku kucha.
Minawa nayo pia.
Nikajaribu Kiangulo nayo pia basi nimelalia mwaka wa uchaguzi.
Lukohe, chiungutwa, mwena, chidya............................
 
sijaelewa
Hizo ni aina ya Unyago kanda za kusi
Komanga huu ni unyago wa kinababa sasa hapo watu wana kusanyika kutoka vijiji mbali mbali
Vijana wa miaka 80s ndio pakupatia binti.
Ukikosa unasuburi unyago wa Manawa hizi ni za kinamama pia kama huna bahati unasubiri sherehe zinautwa Kiangulo hizi ni sherehe Watoto wanarudi nyumbani .
Sasa ukikosa zote hizo binti wa kuposa
Ndio wanaita nimelalia mwaka ( yaani mwaka bila ya penzi) hivyo itakulazimu kusubiri mwakani.
 
Back
Top Bottom