Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,719
- 215,830
Masalkheri wapendwa,
Leo nimekuja na story ya shost Victoriia, shost huyu sijawahi kugombana nae na nimemfahamu kwa Zaidi ya miaka 15 sasa. Shost Victoria si muongeaji wala hanaga ubuyu. Hata awe kwenye tukio ambalo umelikosa, mkionana atakupa headlines tu au sub titles si yale ya ubuyu wa pili pili.
Ninadhani hii ni moja ya sababu za urafiki wetu kudumu, utakayomweleza Victoria atakupa ushauri na yatakua yameishia pale. Hata ukienda kwa mume wake umwambie mke wako alisema.... atakwambia madam ninadhani unamwongelea mtu mwingine lakini huyo unaemsema hapa si mke wangu.
Katika maongezi siku moja Victoria alinieleza, tangia akiwa mdogo, mama yake alimwambia kuwa, binadamu tulipewa na Mungu macho mawili, masikio mawili na mdomo mmoja, mdomo huu kazi yake kubwa na kula na ikibidi kuongea ongea yale yenye umuhimu wa kutoka. Ukiwa mtazamaji na msikilizaji na ukazungumza machache, maadaui utakao kuwa nao watakua ni wachache sana.
Nimereflect sana kauli hii, na nimeona niwaletee leo hii hapa, je ni wangapi wanakubaliana nayo?