Natafuta mchumba ambae badae awe mume

mimadota

Member
Jan 7, 2017
48
108
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
 
Mm ni mwenyewe, umepata mtima wa moyo wako.....ninafikiria kujiajiri ama kuajiriwa baada ya kuvuka mwaka na kuacha shughuri zile zote!.....je upo tayari? Hivyo vigezo vingine vyote vimekamilika kwangu....na huo umri ndio kwanza nauanza sasa
 
Hujasema unapatikana wapi! Kama vigezo vinapelea kidogo je?
 
Mm ni mwenyewe, umepata mtima wa moyo wako.....ninafikiria kujiajiri ama kuajiriwa baada ya kuvuka mwaka na kuacha shughuri zile zote!.....je upo tayari? Hivyo vigezo vingine vyote vimekamilika kwangu....na huo umri ndio kwanza nauanza sasa
njooo pm my
 
Umesema inabidi awe mjasiriamali! Vipi akiwa mwajiriwa au yeye hana nafasi?
 
Njoo PM best,tujadiliane kuhusu Haya maisha labda tunaweza kulisongesha hili gurudumu LA maisha pamoja
 
Unajishughulisha na nini,
Umeajiliwa au ww bado ni tegemezi?
Umeajiliwa serikalini au sekta binafsi?
Una nini, Akaunti yako ya benk Ina kiasi gani?
Na kama hujaajiliwa hayo matokeo yako ya kidato cha nne yakoje?
Umekuwa kwenye mahusiano na wanaume wangapi?

Usifikilie kuwa mwanamke mrembo na kujua kukatika kitandani ndo sababu ya kufanya uolewe inabidi na ww uwe na chochote cha kuongezea familia kipato otherwise jiandae kutokua na uhuru kwenye hiyo ndoa.
 
umri wangu miaka 26,elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa,dini ni kristo kitu ninacho kipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote ,,,,,,mwanaume ninae muhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo .ntampenda na kumlinda daima karibu kwa alie pendezewa na Mimi.
Nipo hapa niPM maana hata mimi natafuta Mke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom