my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,390
Eehh
Pole sana usikae kimya nimesikia uchungu sana. Mwambie mama bila kusita na pia ukapimwe kama hajakutia ujauzito au kukuambukiza magonjwa. Huyu hana hadhi ya kuitwa baba. Nakuomba sana usiendelee kukaa kimya.
Nakumbuka kama vile upo nje ya nchi binti, au sio wewe? Ngoja nikusome tena.
Ndiye yeye huyu baadhi ya threads zake ziko very questionable. Sijui kama alichoandika kina ukweli.
Heshima yako mkuu. Ahsante kwa kutufumbua macho. Ila Duh................... Yaani watu wengine ni mental aisee. Attention seeker or not, how useless can one's life be to warrant the concoction of this kind of craziness! We binti si bora hata ungejikita kwenye swala la ku-verify vyeti vya kiongozi wako..........argrrrrrrrrrrrrrrrrrrUna hakika na ulichoandika!? Nimepitia baadhi ya threads zako humu zimenitia wasiwasi kama unasema kweli.
Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu
Heshima yako mkuu. Ahsante kwa kutufumbua macho. Ila Duh................... Yaani watu wengine ni mental aisee. Attention seeker or not, how useless can one's life be to warrant the concoction of this kind of craziness! We binti si bora hata ungejikita kwenye swala la ku-verify vyeti vya kiongozi wako..........argrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Una hakika na ulichoandika!? Nimepitia baadhi ya threads zako humu zimenitia wasiwasi kama unasema kweli.
Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu
baba mzazNi baba mzazi au wa kufikia na utakaa kimya mpk lin
Nakumbuka kusoma kuwa walienda USA or Canada baada ya wazee kupata kazi huko. Ila nimeanza kutokumuelewa muda sasa na kucha kumsoma. Now amekuja na mpya, anaposema wanaishi watu wa social services etc wapo kusaidia.
Swali sasa ni why hatafuti help, tena anamengi yanamsumbua kwa muda mrefu.
Mkuu BAK huyu ni mtoto under 18,aliaga anaenda canada kama mnakumbuka kati ya 2014Una hakika na ulichoandika!? Nimepitia baadhi ya threads zako humu zimenitia wasiwasi kama unasema kweli.
Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu