Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,788
Habari za muda huu wana JF
Kama kichwa cha habari kinavosomeka,
Kwa ndugu,jamaa na marafiki kukopeshana ni jambo la kawaida sana ktk jamii zetu ili kuweza kuendesha maisha yetu.
Je
1 Hata watu ambao wapo ktk mahusiano ya kimapenzi,iwe ni wanandoa au ambao hawajafunga ndoa nao wanakopeshana?
2 Italeta madhara gani ktkt mahusiano yao?
Mchango wenu ni muhimu sana pamoja na ushauri pia