Nahitaji rafiki wa kike/mama wa kiroho

oohooo,kuokoka tena! hapo si qualify kuwa rafiki yako maana napenda nikiwa natia story na rafiki yangu pembeni tunagonga castle lager!!!
 
Habari zenu wapendwa.
Mimi ni binti nahitaji marafiki wa kike na wamama pia
Kigezo ni uwe mcha Mungu umeokoka.
Kanisani wameisha!!!
Huku kuna dudushelele mkuu
Karibu katika ulimwengu wa wasiobaguana
Kumbuka marafiki ni fb, insta huku ni wote tunaogeleaga bwawa moja
 
Expert member toka lini?
Angalia Status yako Mkuu...... Wewe sasa ni JF Expert Mrmber. Umesharuka ngazi nyingi sana ndani ya Siku tano tu
1. New Member
2. Member
3. Senior Member
4. JF Expert Member.

Duuh! Hongera bhanah!....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom