Kwa wenye watoto hostel tuwe na muda wa kuwahoji watoto wakati wa likizo mana kuna vitendo vingi vya bullying (matokeo yake baadae ni mtoto kukosa confidence ukubwani, au hata kuwa na roho mbaya)
Nimeiona hii kenya kwa shule ya alliance shule ya gharama kabisa, no beatings but wana military punishmenta km vile squatting, push-ups etc
Wengine kupewa adhabu ya kulala juu ya kaburi usiku (si kumjengea hofu mtoto na roho mbaya baadae katika jamii hata kaziini.
Kwa hiyo tabia tunazoziona makazini na hata katika jamii zetu inaweza ikawa ni matokeo ya malezi ya nyumbani au shuleni.